Ila wewe una moral authority ya kuzungumza chochote!Umeamua kuleta uzushi wako hapa, hata Kidata alivuliwa hadhi ya ubalozi na shujaa kwahiyo kama ulozi wako upo sahihi si jambo la ajabu.
Huyo babu msaliti kwa wenzie hana moral authority ya kuzungumzia chochote maana hana huo usafi.
Wote ni ccm kwa ccm. Sisi maskini hayatuhusuKama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.
Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.
Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga Serikali.
Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Yaani agombee sababu ya DPW?Wakijaribu kufanya hivyo watampaisha sana kisiasa na pengine kugombea urais atatoa upinzani mkali haswa 2025 kwa CCM
SISI TUNAOTUMIA BANDARI HII MARA KWA MARA HATUFURAHISHWI NA UZEZETA NA UKIRITIMBA ULIOPO HAPO BANDARINI,UNALERETA KWA CONTAINE DU DUBAI,UNASUBIRI PLASIE CLEERIE SIKU 60-70,LOUDGING HOUSE NA PASEE YOTE INAISHIA HUMO,HASARA KUKWA KWA KWELI,KAMA ATAINGIA NA KASI ITAZIDI ITAKUWA BIER,HASARA NI KUBWA SANA!Hili suala la Mkataba wa chief mangungo wa kuuzwa bandari yetu milele litatugawa Taifa Zima pande mbili , wanaokubali na wanaokataa na Kwa vile bandari waarabu wamepewa milele basi Mgogoro huu nao ni WA milele daima dumu! Kamwe watz Hatutokubaliana milele!
umoja wa Taifa la Nyerere kwishney!
Huyo Bw Slaay ana haki kama raia kulalamika maana hakuna mmiliki wa nchi au Mali za nchi!
Ila mi niko upande wa HAPANA! Kama ukiwekwa ukomo wa Mkataba nakuwa NDIYO! Mlio upande wa Ndiyo poleni kwa kuendekeza ujinga na utumwa wa mtu mweusi!
Sasa kumkamata kwa kosa ganiKama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.
Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.
Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga Serikali.
Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Niulizie Kwao je, tuanze pia Kujifunza Kulia kilazima Misibani, kutoa Salamu za Rambirambi na kuandika Salamu za Vifo katika Vitabu Maalum vya Misibani Majumbani?Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.
Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.
Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga Serikali.
Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Tangu migodi ya madini iendeshwe na wageni umepata nini cha zaidi ya uchawa?We endelea ku"zuga" tuu, sisi tunakanyaga twende.
Mkapa aliambiwa hivyo hivyo anauza nchi, je ni kweli nchi imeuzwa, Mama aendelee na huu mpango sio lazima sote tukubaliane ila dhamira ya Mama ni nyeupe sana hatuihitaji kuwa kama Masai ng'ombe 5,000 halafu anaishi maisha duni.
Mbona migodi inaendeshwa na wageni na kila wakati tunatunga sheria mpya za madini na wanatekeleza?