Balozi Hussein Katanga msaidie Rais ipasavyo, teuzi za Wakuu wa Wilaya kuna dosari kubwa

Balozi Hussein Katanga msaidie Rais ipasavyo, teuzi za Wakuu wa Wilaya kuna dosari kubwa

Kuna mashabiki na kuna umma. Tutofautishe viwili hivi.

Mama anafanya kazi kwa maslahi ya Umma sio maslahi ya mashabiki
Maslahi ya umma ndo amuweke Nassari aliyefukuzwa bungeni kwa kutohudhuria vikao huku akila mshahara kodi za wananchi?

Labda kama unadhani umma unavumilia dharau
 
Mashinji
Lijuakali
Nasari

Kwanini nyie vijana mnawatesa sana bavicha
 
Hata mimi nimehisi hizi teuzi zina mkono wa lile genge.
Kuna kaujinga kanafanyika chini kwa chini bila mama kujua.
Lakini tulishauri awafutilie magenge mbali kwani wao hawatamkubali kamwe hata awafanyie nini.
Katoa watu wote ikulu kaweka wake! Wote wanaomzunguka ni wateule wake!

Haya hilo genge linatoka wapi? Ni la kutoka chama gani?
 
Wakuu wa wilaya na mikoa ni vyeo ambavyo havina umuhimu wowote! Na hizi teuzi za miaka hii ndio imezidi kudhihirika ni vyeo vya ovyo! Labda ndio maana wanateuliwa watu wa 'hovyo'!
Acha bange wewe, vyeo vya ukuu wa wilaya havina maana yeyote? Hawalipwi mishahara kupitia kodi zetu hao? Kodi ya laini za simu haitatumika KUBORESHA MASLAHI YAO? Shenzi zako
 
Ina maana hujui kuwa Nassari alifukuzwa bungeni kwa utovu wa kutohudhuria vikao huku akiendelea kula pesa za wananchi kama mshahara?. Mtu kama huyo anafaaje kuwa kiongozi?
Bunge lipi hilo? Hilo linalowashikilia wanawake 19 hewani hewani..ambao wapo pale kinyume na taratbu za bunge au?
 
Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.

Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.

Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.

Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Una Hoja ya Msingi, ila nakupinga sana unaposema kuwa Teuzi za 'hovyo hovyo' zimeanza Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli.

Najua wengi mnaweza msinielewe ( japo najua Werevu wachache watanielewa ) kwamba kama kuna Kiongozi ( RaiI ) ambaye aliharibu mambo ya Utendaji na hata Maadili Kupungua nchini ( na hasa Serikalini ) alikuwa ni Jakaya Kikwete.

Nani asiyejua kuwa katika Kipindi chake Vijana wengi waliingia Idara 'Nyeti' nchini kutokana na 'Vimemo' kutoka kwa Mwanae Kipenzi ( sasa Mbunge ) ambaye alikuwa akiogopwa Tanzania nzima?

Nani hajui kuwa ni katika Awamu ya Kikwete ili 'uteuliwe' kuwa Waziri au Mkuu wa Idara na Taasisi fulani ilikuwa ni lazima Kwanza 'Ujipendekeze' kwa Mtoto wake 'Prince' ili aende kwa 'Babaake' akamshawishi ndipo uteuliwe?

Ifike muda sasa Watanzania tuache kuwa 'Wanafiki' na Kumshambulia sana Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Gharama za Kumpamba na Kumsifia Rais Mstaafu Kikwete ambaye ndiyo 'ameigharimu' vibaya sana nchi yetu hii ya Tanzania ila ukiwa Mjinga ( Ngumbaru ) au Mpumbavu ( Popoma ) hili huwezi kuliona au kulijua.

Nikuri kama GENTAMYCINE kuwa ni kweli Hayati Rais Dkt. Magufuli nae alikuwa na Mabaya ( Mapungufu ) yake ila hapo hapo pia nikiri bila ya kuwa 'Mnafiki' kuwa kuna maeneo mengi sana amefanya mema katika nchi hii na hata kama tukiwa humu Mitandaoni hatutaki Kukiri hilo ( Kuyakiri hayo ) ila Mioyoni mwetu ( Rohoni kwetu ) najua tunakubalika na hata Kumshukuru pia.
 
Wanateua watu ambao jamii inajua kuwa walinunuliwa, Watu waliosaliti vyama vyao kwa fedha, wanawaacha watu ambao ni wasafi ndani ya CCM na nje ya CCM.

Uteuzi huu wa akina Nassari na Lijualikali ni wa ajabu sana!

How can you reward a sellout behaviour?
Usisahau: Mama na hayati ni walewale. Yeye kesha sema. Tusitegemee mapya. Yaliyoachwa na marehemu yatapakwa rangi tu, bali ni yaleyale. "Old wine in a new bottle". Dawa: Tudai kwa nguvu zote katiba mpya.
 
Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.

Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.

Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.

Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Kupeana hovyo vyeo mwasisi ni JK sio hayati.

JK alilelewa kisiasa na JKN lakini cha ajabu akawa mwanzilishi wa siasa za kirafiki za wanamtandao akiwa pamoja na Lowassa.

Hivyo Rais wa sasa anaendeleza tu zile siasa za Kiongozi aliyemtoa visiwani akamleta huku bara.
 
Siku tukakaa vyeo hivi vya Ukuu wa Wilaya na Mikoa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana Katika kukomesha matumizi yasiyo ya lazima na Mzigo kwa serikali yetu. Hivi vyeo plus wabunge wa Viti maalum na wale wa Kuteuliwa na Mzigo usiona ulazima kwa taifa masikini kama letu.
Shida ya nchi hii, Serikali inajitahidi sana kuongeza idadi ya walaji kuliko wazalishaji!!
 
Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.

Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.

Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.

Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
inashuka au imeaishashuka.wateule wake wengi hawana sifa ya kuwa MADC huko ni kuwadhalilisha wa RPC na MAOCD kuwapigia salute watoto wadogo.mimi sijawahi ona teuzi za namna hii katika nchi yoyote yenye mfumo huo hapa afrika.
 
Wanateua watu ambao jamii inajua kuwa walinunuliwa, Watu waliosaliti vyama vyao kwa fedha, wanawaacha watu ambao ni wasafi ndani ya CCM na nje ya CCM.

Uteuzi huu wa akina Nassari na Lijualikali ni wa ajabu sana!

How can you reward a sellout behaviour?
Chadema hakuna siku mtakuja kuwa na furaha maana nyuso zenu zimekunjamana tangu mfumo wa vyama vingi.Tuliwaonya kuwa Magufuli mlimuandama pasipo sababu mkasahau kwamba ccm ni ileile. Kwa tunaojua kuwa upinzani wa Tanzania ni utapeli flani, na kwamba ccm ni ile ile tunaendelea kula raha tukifurahia maisha.
 
Back
Top Bottom