mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Sawa mama nimekuelewa,nilikutetea humu kwa malipo ya buku saba kwa siku lakini wapiHajakutuma umshabikie.
Ni kiherehere chako tu. Kwanza rais hana shida na mashabiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mama nimekuelewa,nilikutetea humu kwa malipo ya buku saba kwa siku lakini wapiHajakutuma umshabikie.
Ni kiherehere chako tu. Kwanza rais hana shida na mashabiki.
Vipi kuhusu Ccm asili walioachwa wanajisikiajeChadema hakuna siku mtakuja kuwa na furaha maana nyuso zenu zimekunjamana tangu mfumo wa vyama vingi.Tuliwaonya kuwa Magufuli mlimuandama pasipo sababu mkasahau kwamba ccm ni ileile. Kwa tunaojua kuwa upinzani wa Tanzania ni utapeli flani, na kwamba ccm ni ile ile tunaendelea kula raha tukifurahia maisha.
Kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo akamwambie Membe amtengue Nassari?
Nafikiri Kuna haja ya kuleta hoja ambazo zimethibitika. Hii ya kununuliwa Ni camouflage kuzuia mjadala mpana kwa nini watu walihama vyama vyao. Vyama viwajibike kutatua changamoto zao za ndani badala ya kutafuta kisingizio eti wamenunuliwa!?Wanateua watu ambao jamii inajua kuwa walinunuliwa, Watu waliosaliti vyama vyao kwa fedha, wanawaacha watu ambao ni wasafi ndani ya CCM na nje ya CCM.
Uteuzi huu wa akina Nassari na Lijualikali ni wa ajabu sana!
How can you reward a sellout behaviour?
Unasema teuzi za ovyo ovyo lakini haujawa specific kuonyesha nani na nani ni teuzi za ovyo na kwa sababu zipi hao watu ni teuzi za ovyo. 😂Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Nimeacha kumshabikia raisat wenu habebeki wala haeleweki
Cheo kizima cha Mkuu wa Wilaya hakina tija. Kina msururu wa watu wengine wanaoweza kufanya kazi za hicho cheo.Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Cdm nilishawambia siku nyingi,mlishindwa kutumia nafasi ya akina pilepole walipoanza kununua wapizani ku inflitrate ccm na kupandikiza plants humo,,saa hizi hao kina Nasari ,msando,etc wangekuwa watu wenu ndani ya system,,badala mgewatumia nyie mka cultivate hostility nao,,Ina maana hujui kuwa Nassari alifukuzwa bungeni kwa utovu wa kutohudhuria vikao huku akiendelea kula pesa za wananchi kama mshahara?. Mtu kama huyo anafaaje kuwa kiongozi?
Unahoja ila Mambo haya alianzisha Kikwete Kila mwenye sura nzuri,au aliyejazia kwa nyuma ukuu wa wilaya ulimhusu,labda Kama hakutiwa kwenye macho na amiri jeshi mkuu was wakati ule.Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Hii kazi JK aliiweza snMhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Tunaongea kama wananchi, hayo mambo ya CDM vs CCM baki nayo nyie wenyewe, kwani sisi hatujui kuwa Bashiru alikuwa CUF?, Haya mavyama ni vehicle tu za madaraka, mwanasiasa yuko tayari kwenda chama chochore ilimradi madaraka. Ishu haa i kuwa anakwendaje huko, baada ya kuwaibia wananchi, kununuliwa au yeye mwenyewe tu kiroho safi?Cdm nilishawambia siku nyingi,mlishindwa kutumia nafasi ya akina pilepole walipoanza kununua wapizani ku inflitrate ccm na kupandikiza plants humo,,saa hizi hao kina Nasari ,msando,etc wangekuwa watu wenu ndani ya system,,badala mgewatumia nyie mka cultivate hostility nao,,
Hivi mnadhani Nasari moyoni ,deep down ni ccm yule?,
Uko sahihi tokea teuzi zianze kuwa za aina ya kina Bashite na Chalamix na kina Sabaya, Kasesela na Kihongosi, binafsi hiyo nafsi nimeona ni za hadhi ya chini SANA.Wakuu wa wilaya na mikoa ni vyeo ambavyo havina umuhimu wowote! Na hizi teuzi za miaka hii ndio imezidi kudhihirika ni vyeo vya ovyo! Labda ndio maana wanateuliwa watu wa 'hovyo'!
Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
DC majukumu yake ni kuhamasisha utendaji kazi, kuratibu shughuli za kiserikali kama mapokezi ya viongizi, kuzuia migogoro ya kivikundi. Ni majukumu ambayo yanaweza kuwa embedded kwa DED.Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Huyo unayemuelewesha ana lunacy ya level ya juu sana, kila kitu au kila mtu anayechangia hapa ye anaona ni chadema tu sijui ana akili ya aina ganiTunaongea kama wananchi, hayo mambo ya CDM vs CCM baki nayo nyie wenyewe, kwani sisi hatujui kuwa Bashiru alikuwa CUF?, Haya mavyama ni vehicle tu za madaraka, mwanasiasa yuko tayari kwenda chama chochore ilimradi madaraka. Ishu haa i kuwa anakwendaje huko, baada ya kuwaibia wananchi, kununuliwa au yeye mwenyewe tu kiroho safi?
Ushahidi wa mauzo yao unao?Wanateua watu ambao jamii inajua kuwa walinunuliwa, Watu waliosaliti vyama vyao kwa fedha, wanawaacha watu ambao ni wasafi ndani ya CCM na nje ya CCM.
Uteuzi huu wa akina Nassari na Lijualikali ni wa ajabu sana!
How can you reward a sellout behaviour?
Kama nani?Wakuu wa wilaya na mikoa ni vyeo ambavyo havina umuhimu wowote! Na hizi teuzi za miaka hii ndio imezidi kudhihirika ni vyeo vya ovyo! Labda ndio maana wanateuliwa watu wa 'hovyo'!