Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lole kundi la mwendazake lilipofanikiwa kumpitisha makamo wa rais ndio nikasema hakuna jipyaMhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Mzee kwenye hili la mkwere nakuunga Mkono alikuwa anateua watu wa ovyo ovyo sana na ndio amemrisha SamiaUna Hoja ya Msingi, ila nakupinga sana unaposema kuwa Teuzi za 'hovyo hovyo' zimeanza Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli.
Najua wengi mnaweza msinielewe ( japo najua Werevu wachache watanielewa ) kwamba kama kuna Kiongozi ( RaiI ) ambaye aliharibu mambo ya Utendaji na hata Maadili Kupungua nchini ( na hasa Serikalini ) alikuwa ni Jakaya Kikwete.
Nani asiyejua kuwa katika Kipindi chake Vijana wengi waliingia Idara 'Nyeti' nchini kutokana na 'Vimemo' kutoka kwa Mwanae Kipenzi ( sasa Mbunge ) ambaye alikuwa akiogopwa Tanzania nzima?
Nani hajui kuwa ni katika Awamu ya Kikwete ili 'uteuliwe' kuwa Waziri au Mkuu wa Idara na Taasisi fulani ilikuwa ni lazima Kwanza 'Ujipendekeze' kwa Mtoto wake 'Prince' ili aende kwa 'Babaake' akamshawishi ndipo uteuliwe?
Ifike muda sasa Watanzania tuache kuwa 'Wanafiki' na Kumshambulia sana Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Gharama za Kumpamba na Kumsifia Rais Mstaafu Kikwete ambaye ndiyo 'ameigharimu' vibaya sana nchi yetu hii ya Tanzania ila ukiwa Mjinga ( Ngumbaru ) au Mpumbavu ( Popoma ) hili huwezi kuliona au kulijua.
Nikuri kama GENTAMYCINE kuwa ni kweli Hayati Rais Dkt. Magufuli nae alikuwa na Mabaya ( Mapungufu ) yake ila hapo hapo pia nikiri bila ya kuwa 'Mnafiki' kuwa kuna maeneo mengi sana amefanya mema katika nchi hii na hata kama tukiwa humu Mitandaoni hatutaki Kukiri hilo ( Kuyakiri hayo ) ila Mioyoni mwetu ( Rohoni kwetu ) najua tunakubalika na hata Kumshukuru pia.
Nimjinga peke yake tu ndioa anaweza kuandika hiviNafikiri Kuna haja ya kuleta hoja ambazo zimethibitika. Hii ya kununuliwa Ni camouflage kuzuia mjadala mpana kwa nini watu walihama vyama vyao. Vyama viwajibike kutatua changamoto zao za ndani badala ya kutafuta kisingizio eti wamenunuliwa!?
Aidha unayemuambia wamenunuliwa anajua ukweli kuliko wewe unaeungaunga.
Isitoshe sio kila aliyehama amenunuliwa. Lowasa, Sumaye, Masha, Kingunge, Nyalandu,Mgeja, na wengine wengi walitoka CCM kwenda upinzani, JE WALINUNULIWA? ZITTO JE? MAALIM SEIF??
Wengi wa waliohama walipokelewa na kupewa fursa walikohamia Iwe CCM CHADEMA au ACT.
Labda nikushauri ukitaka kumsaidia na kumshawishi MAMA Ni kuweka hapa jukwaani USHAHIDI wa MANUNUZI.
Labda hujui tofauti ya kununuliwa na kushawishiwa ktk siasa.. hata Mbowe alipoona Lowassa Yuko njia panda alimpigia simu kumuomba ajiunga na CDM aendeleze mapambano. Zitto alimtafuta MEMBE wakayajenga... Haya yanatokea kwa sababu wanachama wamekwazana na CHAMA au viongozi wao na wamegundua Kuna vikwazo ktk kufikia ndoto na malengo yao.
Tuwe na uvumilivu unaeona hafai wengine wanaona anafaa
Umewaza kwa sauti KUU umeelewekaCdm nilishawambia siku nyingi,mlishindwa kutumia nafasi ya akina pilepole walipoanza kununua wapizani ku inflitrate ccm na kupandikiza plants humo,,saa hizi hao kina Nasari ,msando,etc wangekuwa watu wenu ndani ya system,,badala mgewatumia nyie mka cultivate hostility nao,,
Hivi mnadhani Nasari moyoni ,deep down ni ccm yule?,
Yani raisi hata angemteua nani bado ingekua tatizo,hiyo ndo tabia ya binadamu aiseeMhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Kwangu hii ndio kauli ya kishenzi kabisa aliyowahi kuitoa tangu aapishwe.Alisikika akisema Raisi hakosei... iiiigh!
Wanasiasa bhana ni burudani sana,maana kuna wengine walileta drama hapa mpka kufikia kukufuru kuongoza malaika hata mbinguni[emoji16]Kwangu hii ndio kauli ya kishenzi kabisa aliyowahi kuitoa tangu aapishwe.
HOVYO KABISA.
Tena mjinga Sana, hujakosea kabisa.Nimjinga peke yake tu ndioa anaweza kuandika hivi
Nikiwa Rais pamoja na kuleta Katiba mpya lazima kufuta baadhi ya vyeo vya hovyo serikalini. Mtiririko ufuatao huwa unanifikirisha sanaa, mfano;Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Kweli kabisa mkuu, li nchi lenyewe likubwa hivi na mavyeo ya kulipana posho na per diem za vikao kibao ndo mana hata kazi hazifanyiki maana upenyo wa kutegeana na kurushiana mipira ni mkubwaNikiwa Rais pamoja na kuleta Katiba mpya lazima kufuta baadhi ya vyeo vya hovyo serikalini. Mtiririko ufuatao huwa unanifikirisha sanaa, mfano;
RC
RAS
SECRETARIATE YA MKOA(Hapa wamejaa Ma-Katibu wasaidizi kibao)
DC
Meyors(Ya kisiasa lakini inakula hela)
DEDs
DAS
HDs(Head of departments)
DOs
AOs
Councillors/MADIWANI(Siasa hela inaliw
WEOs
MEOs/VEOs
Na hawa wote wanakula hela za nchi.
Kuna vyeo havitakiwi kuwepo hapo Haki ya Mungu! Na nawaapia hii nchi kutoboa ni vigumu sana.
Saana aisee! Hii nchi kuendelea ndotoKweli kabisa mkuu, li nchi lenyewe likubwa hivi na mavyeo ya kulipana posho na per diem za vikao kibao ndo mana hata kazi hazifanyiki maana upenyo wa kutegeana na kurushiana mipira ni mkubwa
Unaziamini teuzi za kabla ya mwenda‼️‼️⁉️⁉️🤔Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini