Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Maslahi ya umma ndo amuweke Nassari aliyefukuzwa bungeni kwa kutohudhuria vikao huku akila mshahara kodi za wananchi?Kuna mashabiki na kuna umma. Tutofautishe viwili hivi.
Mama anafanya kazi kwa maslahi ya Umma sio maslahi ya mashabiki
Hiyo ndio dosari?Ina maana hujui kuwa Nassari alifukuzwa bungeni kwa utovu wa kutohudhuria vikao huku akiendelea kula pesa za wananchi kama mshahara?. Mtu kama huyo anafaaje kuwa kiongozi?
Mimi napendekeza hizi nafasi za UDC na URC zifutwe kabisa.Wakuu wa wilaya na mikoa ni vyeo ambavyo havina umuhimu wowote! Na hizi teuzi za miaka hii ndio imezidi kudhihirika ni vyeo vya ovyo! Labda ndio maana wanateuliwa watu wa 'hovyo'!
Katoa watu wote ikulu kaweka wake! Wote wanaomzunguka ni wateule wake!Hata mimi nimehisi hizi teuzi zina mkono wa lile genge.
Kuna kaujinga kanafanyika chini kwa chini bila mama kujua.
Lakini tulishauri awafutilie magenge mbali kwani wao hawatamkubali kamwe hata awafanyie nini.
Acha bange wewe, vyeo vya ukuu wa wilaya havina maana yeyote? Hawalipwi mishahara kupitia kodi zetu hao? Kodi ya laini za simu haitatumika KUBORESHA MASLAHI YAO? Shenzi zakoWakuu wa wilaya na mikoa ni vyeo ambavyo havina umuhimu wowote! Na hizi teuzi za miaka hii ndio imezidi kudhihirika ni vyeo vya ovyo! Labda ndio maana wanateuliwa watu wa 'hovyo'!
Sasa JK aliathirika vipi? Si alimaliza kipindi chake salamaEndeleeni kumdanganya ,mwisho wake mitandaoni yatajaa maneno ya ajabu. Akamuulize JK
Umma na mashabiki ni vitu viwili tofautiUsimdanganye rais, Umma ukimkataa atapata tabu sana.
Sasa ndiyo nini kwenda kuteua watovu wa nidhamu waliofukuzwa bungeni kama akina Nassari?
Bunge lipi hilo? Hilo linalowashikilia wanawake 19 hewani hewani..ambao wapo pale kinyume na taratbu za bunge au?Ina maana hujui kuwa Nassari alifukuzwa bungeni kwa utovu wa kutohudhuria vikao huku akiendelea kula pesa za wananchi kama mshahara?. Mtu kama huyo anafaaje kuwa kiongozi?
Acha wivu mkuu!..Maslahi ya umma ndo amuweke Nassari aliyefukuzwa bungeni kwa kutohudhuria vikao huku akila mshahara kodi za wananchi?
Labda kama unadhani umma unavumilia dharau
Una Hoja ya Msingi, ila nakupinga sana unaposema kuwa Teuzi za 'hovyo hovyo' zimeanza Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli.Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Usisahau: Mama na hayati ni walewale. Yeye kesha sema. Tusitegemee mapya. Yaliyoachwa na marehemu yatapakwa rangi tu, bali ni yaleyale. "Old wine in a new bottle". Dawa: Tudai kwa nguvu zote katiba mpya.Wanateua watu ambao jamii inajua kuwa walinunuliwa, Watu waliosaliti vyama vyao kwa fedha, wanawaacha watu ambao ni wasafi ndani ya CCM na nje ya CCM.
Uteuzi huu wa akina Nassari na Lijualikali ni wa ajabu sana!
How can you reward a sellout behaviour?
Kupeana hovyo vyeo mwasisi ni JK sio hayati.Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Ni kweli hakosea yeye kama RAIS ila mfumo unakoseaMkuu hujaambiwa kwamba rais hakosei?
Shida ya nchi hii, Serikali inajitahidi sana kuongeza idadi ya walaji kuliko wazalishaji!!Siku tukakaa vyeo hivi vya Ukuu wa Wilaya na Mikoa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana Katika kukomesha matumizi yasiyo ya lazima na Mzigo kwa serikali yetu. Hivi vyeo plus wabunge wa Viti maalum na wale wa Kuteuliwa na Mzigo usiona ulazima kwa taifa masikini kama letu.
inashuka au imeaishashuka.wateule wake wengi hawana sifa ya kuwa MADC huko ni kuwadhalilisha wa RPC na MAOCD kuwapigia salute watoto wadogo.mimi sijawahi ona teuzi za namna hii katika nchi yoyote yenye mfumo huo hapa afrika.Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa.
Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama Mkuu wa Utumishi wa Umma.
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini.
Nakusihi sana KMK, msaidie Mhe. Rais teuzi zifanyike kulinda hadhi ya ofisi husika. Vinginevyo hadhi ya Mamlaka ya Uteuzi na Ofisi inashuka.
Chadema hakuna siku mtakuja kuwa na furaha maana nyuso zenu zimekunjamana tangu mfumo wa vyama vingi.Tuliwaonya kuwa Magufuli mlimuandama pasipo sababu mkasahau kwamba ccm ni ileile. Kwa tunaojua kuwa upinzani wa Tanzania ni utapeli flani, na kwamba ccm ni ile ile tunaendelea kula raha tukifurahia maisha.Wanateua watu ambao jamii inajua kuwa walinunuliwa, Watu waliosaliti vyama vyao kwa fedha, wanawaacha watu ambao ni wasafi ndani ya CCM na nje ya CCM.
Uteuzi huu wa akina Nassari na Lijualikali ni wa ajabu sana!
How can you reward a sellout behaviour?
ππππππππππAcha wivu mkuu!..
Wewe rais wako si Membe?