Balozi Hussein Katanga msaidie Rais ipasavyo, teuzi za Wakuu wa Wilaya kuna dosari kubwa

Wabongo kazi yetu kulialia tu. Unasema kuna dosari, lakini huzisemi hizo dosari, unategemea huyo katibu mkuu kiongozi atajuaje dosari unazoziona wewe? Au labda ulikuwa na nia ya kutaja tu jina Mwendazake kwenye thread yako ili kuvutia wachangiaji?
 
Hakuna dosari yoyote. Usicomplicate mambo, usipende kuwa na majibu mfukoni. Watanzania wote kama wana sifa wana haki ya kuteuluwa kushika madaraka ya umma, hakuna kundi lenye haki zaidi.

Tuwape muda wachape kazi ndipo uwajaji
 
Lole kundi la mwendazake lilipofanikiwa kumpitisha makamo wa rais ndio nikasema hakuna jipya
 
Mzee kwenye hili la mkwere nakuunga Mkono alikuwa anateua watu wa ovyo ovyo sana na ndio amemrisha Samia
kuhusu jiwe ukweli jamaa angejielewa angeweza kuwa Rais mzuri sana Ila ndio vile Kiburi Cha uzima kimemuharibu
 
Nimjinga peke yake tu ndioa anaweza kuandika hivi
 
Umewaza kwa sauti KUU umeeleweka
 
Yani raisi hata angemteua nani bado ingekua tatizo,hiyo ndo tabia ya binadamu aisee
 
Kwangu hii ndio kauli ya kishenzi kabisa aliyowahi kuitoa tangu aapishwe.
HOVYO KABISA.
Wanasiasa bhana ni burudani sana,maana kuna wengine walileta drama hapa mpka kufikia kukufuru kuongoza malaika hata mbinguni[emoji16]
 
Nikiwa Rais pamoja na kuleta Katiba mpya lazima kufuta baadhi ya vyeo vya hovyo serikalini. Mtiririko ufuatao huwa unanifikirisha sanaa, mfano;

RC
RAS
SECRETARIATE YA MKOA(Hapa wamejaa Ma-Katibu wasaidizi kibao)
DC
Meyors(Ya kisiasa lakini inakula hela)
DEDs
DAS
HDs(Head of departments)
DOs
AOs
Councillors/MADIWANI(Siasa hela inaliw
WEOs
MEOs/VEOs

Na hawa wote wanakula hela za nchi.

Kuna vyeo havitakiwi kuwepo hapo Haki ya Mungu! Na nawaapia hii nchi kutoboa ni vigumu sana.
 
Kweli kabisa mkuu, li nchi lenyewe likubwa hivi na mavyeo ya kulipana posho na per diem za vikao kibao ndo mana hata kazi hazifanyiki maana upenyo wa kutegeana na kurushiana mipira ni mkubwa
 
Kweli kabisa mkuu, li nchi lenyewe likubwa hivi na mavyeo ya kulipana posho na per diem za vikao kibao ndo mana hata kazi hazifanyiki maana upenyo wa kutegeana na kurushiana mipira ni mkubwa
Saana aisee! Hii nchi kuendelea ndoto
 
Imani yangu mambo mengi kwa % kubwa yanafanywa na watu wa kitengo,tangu kuhama kutoka chadema na kujiunga ccm,mpaka kifo cha mwendazake,kaja mama bado wamepewa vitengo basi ujue kuna masterplan nyuma yao.
 
Mambo ya teuzi za ovyo yalianza zama za mwendazake na sasa mama naye kaanza kuyarudia japo teuzi zake za mwanza zilionyesha matumaini
Unaziamini teuzi za kabla ya mwenda‼️‼️⁉️⁉️🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…