PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708

1750769797070.png
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.

Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Arusha, akiwemo Mbunge Mrisho Gambo.

Jukwaa hili limewakutanisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo, usawa wa kijinsia, na nafasi ya mwanamke katika jamii. Tukio linafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Arusha.

Kwenye picha ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi (katikati), aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (kushoto) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, wakiwa katika viunga vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), linapofanyika Jukwaa la Wanawake Arusha 2025.

1750758382794.png
 
Hizo suti Nchimbi na Gambo wameshona kwa hahati mbaya rangi zinafikirisha.Huyo Gambo ni timu Msoga wakati huyo mwingine ni timu Ile,sidhani kama timu Msoga watakubali kijana wao atupwe kisa huyo jamaa ambae mtu wa visasi.Na akishinda Makonda mama akambeba kuwa waziri yule aliyempokonya ghorofa akae sawa,mwana mpendwa wa Msoga aliyesaidia zoezi Zima akiwa Naibu nae ajipange inagawa hatomuweza.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.

Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Arusha, akiwemo Mbunge Mrisho Gambo.

Jukwaa hili limewakutanisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo, usawa wa kijinsia, na nafasi ya mwanamke katika jamii. Tukio linafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Arusha.
Kosa kubwa sana watu wa Arusha wadanganyika ni kumpa ubunge RC.Mtu aliyeenda juzi tu leo autake ubunge wakati hana baseline ya eneo husika.Uwakilishi bora ni ule unaotokana mtu mwenye moyo wa dhati na eneo hilo.
 
Hizi suti zinaongea mengi. Moja ni kuwa uongozi wa juu wa chama upo na Gambo. Codes!!
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.

Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Arusha, akiwemo Mbunge Mrisho Gambo.

Jukwaa hili limewakutanisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo, usawa wa kijinsia, na nafasi ya mwanamke katika jamii. Tukio linafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Arusha.

Ndani ya nafsi, kila mmoja anawaza jambo lake.
 
Ni uhuni tu
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili, kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Arusha.

Makonda alikuwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo wakati wakitembea kwa pamoja, Dkt. Nchimbi alimwita Gambo kisha akawashika mabega na kupiga picha ya pamoja.
1750769684373.png
 
Back
Top Bottom