Vyuma vitaumana Insha-Allah!...Kwenye picha ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi (katikati), aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (kushoto) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, wakiwa katika viunga vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), linapofanyika Jukwaa la Wanawake Arusha 2025.
Unaelewa maana ya rangi ya blue 😂Llote linawezekana.......kama wauaji wanakuwa ma RC, why not makonda kuwa PM......
Mkuu!Siyajui mauaji y makonda kwa kushuhudia ila naujua ujinga wa Gambo kw kushuhudia hivyo naomba uniache ninapoanza kutuma barak kwa mndhiri w Mungu na ninapotuma laana kwa mdogo wake sheitwani .
Sawa?
Mbona wewe hujarogwa.CCM ni wanafiki wakubwa kupita kias, hapo wanacheka kinafiki lakini hapo kila mtu katoka kwa mganga kumloga mwenzake usiku wa leo.
Mkuu!
Kumbe una mamlaka makubwa hivi!!?unatuma baraka na laana kwa watu!!aiseh!
Hebu mimina baraka pande hizi labda nitafikiriwa na wenyewe!!
"NO REFORM, NO ELECTION" "NO REFORM, NO ELECTION" "NO REFORM, NO ELECTION" "NO REFORM, NO ELECTION"Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Arusha, akiwemo Mbunge Mrisho Gambo.
Jukwaa hili limewakutanisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo, usawa wa kijinsia, na nafasi ya mwanamke katika jamii. Tukio linafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Arusha.
Makonda hapo ni nani na anafanya nini ukumbi wa AICC saa hii?Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Arusha, akiwemo Mbunge Mrisho Gambo.
Jukwaa hili limewakutanisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo, usawa wa kijinsia, na nafasi ya mwanamke katika jamii. Tukio linafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Arusha.
Wote ni wadudu watupu.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Arusha, akiwemo Mbunge Mrisho Gambo.
Jukwaa hili limewakutanisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo, usawa wa kijinsia, na nafasi ya mwanamke katika jamii. Tukio linafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Arusha.
Kura za kanda ya ziwa sio mchezo kwa uchaguzi huu au utakaokuja baada ya Samia kuachia ngaziHizo suti Nchimbi na Gambo wameshona kwa hahati mbaya rangi zinafikirisha.Huyo Gambo ni timu Msoga wakati huyo mwingine ni timu Ile,sidhani kama timu Msoga watakubali kijana wao atupwe kisa huyo jamaa ambae mtu wa visasi.Na akishinda Makonda mama akambeba kuwa waziri yule aliyempokonya ghorofa akae sawa,mwana mpendwa wa Msoga aliyesaidia zoezi Zima akiwa Naibu nae ajipange inagawa hatomuweza.
Nchimbi na Gambo nao hawaivi?Heri wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana 😁🙏🙏🇹🇿

Kajamaa kashenzi shenzi hakana nidhamu ngoja wajumbe wa ccm arusha mjini wamuonyeshe kwamba yeye ni mshenzi na wala hafaiMakonda anapatanishwa kila siku