DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Wote hao wameua Sana watu hakuna mwenye Baraka hata mmojaDah makonda ni mbunge wa arusha ndiyo maana yuko mkono wa kulia mwa nchimbi .
Mambo ya maono haya ,hivyo sio mihemuko kaa mbali na hii komenti .
Gambo ,mimi ni Shjir ,ukae benchi uje masikani kutuomba msamaha mjinga wewe
Wait atakua PMInasikitisha.
So Makonda hapo ni nobody...
Ni Raia Wa Kawaida..
Endelea kuotaWaziri mkuu ajae.
Siyajui mauaji y makonda kwa kushuhudia ila naujua ujinga wa Gambo kw kushuhudia hivyo naomba uniache ninapoanza kutuma barak kwa mndhiri w Mungu na ninapotuma laana kwa mdogo wake sheitwani .Wote hao wameua Sana watu hakuna mwenye Baraka hata mmoja
Isije kutokea hafai. Lakini ana nyota ya kupendwa na watawala.Endelea kuota
Llote linawezekana.......kama wauaji wanakuwa ma RC, why not makonda kuwa PM......Wait atakua PM
Kosa kubwa sana watu wa Arusha wadanganyika ni kumpa ubunge RC.Mtu aliyeenda juzi tu leo autake ubunge wakati hana baseline ya eneo husika.Uwakilishi bora ni ule unaotokana mtu mwenye moyo wa dhati na eneo hilo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Arusha, akiwemo Mbunge Mrisho Gambo.
Jukwaa hili limewakutanisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo, usawa wa kijinsia, na nafasi ya mwanamke katika jamii. Tukio linafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Arusha.
Simkubali jamaa basi tu watawala wanampendaLlote linawezekana.......kama wauaji wanakuwa ma RC, why not makonda kuwa PM......
Ndani ya nafsi, kila mmoja anawaza jambo lake.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Arusha, akiwemo Mbunge Mrisho Gambo.
Jukwaa hili limewakutanisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa lengo la kujadili masuala ya maendeleo, usawa wa kijinsia, na nafasi ya mwanamke katika jamii. Tukio linafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Arusha.
Ni uhuni tu