PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vyuma vitaumana Insha-Allah!...
 
Siyajui mauaji y makonda kwa kushuhudia ila naujua ujinga wa Gambo kw kushuhudia hivyo naomba uniache ninapoanza kutuma barak kwa mndhiri w Mungu na ninapotuma laana kwa mdogo wake sheitwani .

Sawa?
Mkuu!

Kumbe una mamlaka makubwa hivi!!?unatuma baraka na laana kwa watu!!aiseh!

Hebu mimina baraka pande hizi labda nitafikiriwa na wenyewe!!
 
"NO REFORM, NO ELECTION" "NO REFORM, NO ELECTION" "NO REFORM, NO ELECTION" "NO REFORM, NO ELECTION"

Hakuna ujumbe muhimu zaidi ya huo kwa wakati huu.
 
Makonda hapo ni nani na anafanya nini ukumbi wa AICC saa hii?
 
Wote ni wadudu watupu.
 
Kura za kanda ya ziwa sio mchezo kwa uchaguzi huu au utakaokuja baada ya Samia kuachia ngazi
 
Wale hawawezi kupatana labda KWA maslahi mapana ya tumbo. Kila mtu akihakikishiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ