PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gambo na makonda wote watatoswa vibaya mno kwakuwa ni watu wafitini .

Na safari hii makonda akitoswa ndo kitakuwa kifo chake kisiasa atabaki kuwa na ile Kazi ya unknown person
 
Huyo jamaa kila anapokanyaga lazima aharibu, sijui ana gundu gani
 
Wote vitengo wenye suti
 
Kwa nadharia ya kuangalia "Shwtani mwenye afadhali" ndani ya ma CCM (ingawa kuna wale wanaosema CCM wote washenzi hakuna mwenye afadhali, but I beg to differ), Nchimbi ni mtu anayeonekqna kuwa na afadhali na kaliba ya uongozi wenye busara kidogo.

Yeye ndiye amekuwa mzimamoto ndani ya CCM, mtu wa kufanya damage control watu wakiharibu mambo.

Kuna kauli fulani za majitaka hutolewa Nchimbi huzisawazisha vizuri.

Tatizo ni kwamba nchi inaendeshwa kwa mfumo.

Naona kama Nchimbi angeweza kuwa rais mzuri zaidi ya Samia.

NB: Mimi si CCM wala si mshabiki wa mtu, naelezea tafakari ya kimantiki tu.
 
Makonda ana matatizo, kila anapokanyaga lazima agombane na watendaji wenzake.
 
Makonda ni mtukutu.
Aende akagombee kwake au kwao.
Kwake ni kigamboni, kwao ni misungwi kwenye jimbo la Mnyeti....au Nyamagana wanakoishi wazazi wake kwa wakati huu.

Huo ndio utaratibu uliozoeleka na kukubalika hata kama hautamkwi wazi.

Ndio maana wewe au mimi mtanganyika hatuwezi kukurupuka kwenda kutafuta uwakilishi Wete-Zanzibar...hata kama tumekulia huko.

This is as opossed to Dar es Salam constituencies,
Kwa majukumu ya kiserikali it's OK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…