Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Kurekodi watu hivyo sio poa. Ni kuendesha nchi kijasusi.

Kama habari ina uhakika, hili ni tatizo la Katibu Mkuu Kiongozi aliyerithiwa kuwa na loyalty kwa rais mstaafu zaidi inaonekana kujirudia.

Ilitokea hivihivi kwa Timothy Apiyo aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Rais Nyerere. Alivyoingia Rais Mwinyi, akaanza kazi na Timothy Apiyo. Apiyo akawa anatoa habari z andani Ikulu na kumpelekea Nyerere, katika namna ambayo Mwinyi hakuipenda.

Mwinyi akamtoa Apiyo, akamteua Balozi Paul Rupia kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.
 
Na mtumbuajo naye ametumbuliwa mazima.
KMK amefukuzwa Ikulu na mtumbuaji naye amefukuzwa duniani. Ngoma Droo!!
 
ingekuwa nchi Kama USA, North Korea, Cuba, angesha r. I. p. sema naye kj anafujo Sana huyu mzee.
 
Humu JF mtu anakuletea maongezi Hadi ya watu walopigiana simu mfano A kasema hivi na B kajibu vile.

Unabaki unajiuliza msimuliaji alisimama wapi kusikiliza yote

Wako vizuri humu
Cheusimangala tangu msiba JPM simuoni hapa jamvini au alikua nini?
 
We jamaa weweπŸ˜‰
 
Nimezungumzia mtu(character) sijazungumzia nafasi wala eneo, alafu sipendi watu wenye mihemko(wafuasi) napenda watu neutral ndo naduscuss nao na tuelemishane.
Kubali kwamba uliandika pumba (mavi).

Makamu wa rais kuwa Mzanzibar ni hitaji la kikatiba. Wala sio mbinu ya JK.
 
Who was behind kibiti??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…