Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Baada ya JPM kuingia madarakani kama tunavyokumbuka alichelewa kuunda serikali yake,

Kwa majuma kadhaa wlifanya kazi yeye na PM Kassim Majaliwa na Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue.

Kombinesheninilikuwa tamu mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na baraza la mawaziri.

Sasa bas huyu Katibu Ombeni Sefue alikuwa amemrithi toka kwa Jk,na nadhani alijisahau akaendelea kuwa mwaminifu kwa JK na jPM kwa wakati mmoja.

Jpm kitu cha kwanza ilikuwa kuhack simu za watu wake,alifunga hadi vinasa sauti kwenye magari yao bila kujijua

Kuna siku KMK akapigiwa simu na mstaafu kuhusu jamaa anavyoendesha nchi,KMK akaanza kumwaga siri.
Ikumbukwe Rais mpya alikuwa akilala saa nane au tisa anasikiliza simu za watu aliowatarget.

La haula akayanasa mazungumzo ya Katibu na mstaafu usiku mnene.

Palepale akampigia simu katibu kuwa YOU ARE FIRED,usiku huohuo akateua katibu mpya
😅😅😅
 
Sasa issue ya Kova uliisikia? Yeye ndo aliitwa Ikulu na boss wake then wakafanyiwa kama wapo kwenye meeting na JPM, kumbe JPM akiwazuga kulikuwa na mzigo wa magendo unatakiwa kupita sehemu fulani mida hiyo, na mzigo ni wa mzee wa msoga! Ukafika mda ule mzigo kupita ukazuiwa askar, wale vijana wabeba mzigo wakapiga simu kwa mabos zao, mzee wa msoga akafikishiwa taarifa kuwa wamezuiwa, Mzee wa Msoga akaruka hewani kwa Elnest Mangu, hapo wakiwa kwenye kikao na JPM! simu ziko mezan maana JPM aliwaambia simu ziwekwe mezani!

Mangu aluambiwa usipokee kwanza, simu ukakata baada ya kukata simu ikaita kwa Kova kwa namba ileile msoga, sasa kova akaambiwa pokea weka Loud 🔊 ikabidi afanye hivo maana ni agizo tena! Sasa pale msoga hajui kitu akaanza kulalamika mbona mbona Mangu hapokei simu na vijana kule mnawapa shida? Basi kova ikabidi aseme ywapo kwenye kikao na No. 1.

Baada ya hapo walifunguka yote na ndiyo maana Kova alistaafu kwa hiyari.

Usione Msoga anamsema vibaya mzee wa Chato anachukinae kwenye mengi
 
Yeye JPM alikuwa hamsemi JK kwa namna fulani?
Jk na Jpm walikuwa wabarushiana vijembe hadharani,kuna siku Jpm alikuja Udsm ile siku aliyosema udom ni vilaza,sasa Jk ni mkuu wa chuo udsm,
Alitamka adharani kuwa dunia duara,niliyekuwa na mtuma sasa yexe ndio ananituma,akasema mimi ni mkuu wa chuo ila usipotoa bajeti ya kukuiendesha usinilaumu huku anacheka ila Jpm alikuwa kanuna hatari
 
Back
Top Bottom