Sasa issue ya Kova uliisikia? Yeye ndo aliitwa Ikulu na boss wake then wakafanyiwa kama wapo kwenye meeting na JPM, kumbe JPM akiwazuga kulikuwa na mzigo wa magendo unatakiwa kupita sehemu fulani mida hiyo, na mzigo ni wa mzee wa msoga! Ukafika mda ule mzigo kupita ukazuiwa askar, wale vijana wabeba mzigo wakapiga simu kwa mabos zao, mzee wa msoga akafikishiwa taarifa kuwa wamezuiwa, Mzee wa Msoga akaruka hewani kwa Elnest Mangu, hapo wakiwa kwenye kikao na JPM! simu ziko mezan maana JPM aliwaambia simu ziwekwe mezani!
Mangu aluambiwa usipokee kwanza, simu ukakata baada ya kukata simu ikaita kwa Kova kwa namba ileile msoga, sasa kova akaambiwa pokea weka Loud [emoji344] ikabidi afanye hivo maana ni agizo tena! Sasa pale msoga hajui kitu akaanza kulalamika mbona mbona Mangu hapokei simu na vijana kule mnawapa shida? Basi kova ikabidi aseme ywapo kwenye kikao na No. 1.
Baada ya hapo walifunguka yote na ndiyo maana Kova alistaafu kwa hiyari.
Usione Msoga anamsema vibaya mzee wa Chato anachukinae kwenye mengi