Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Alikuwa hajaunda Cabinet. Alikuwa anaongoza nchi yeye,Ombeni Sefue na media. Hasa media imemsaidia sana,akina Jenerali,na headline zao,"MWAMBA!! AMEMTIMUA KAZI MTU MWINGINE!!"
 
Baada ya JPM kuingia madarakani kama tunavyokumbuka alichelewa kuunda serikali yake,

Kwa majuma kadhaa wlifanya kazi yeye na PM Kassim Majaliwa na Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue.

Kombinesheninilikuwa tamu mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na baraza la mawaziri.

Sasa bas huyu Katibu Ombeni Sefue alikuwa amemrithi toka kwa Jk,na nadhani alijisahau akaendelea kuwa mwaminifu kwa JK na jPM kwa wakati mmoja.

Jpm kitu cha kwanza ilikuwa kuhack simu za watu wake,alifunga hadi vinasa sauti kwenye magari yao bila kujijua

Kuna siku KMK akapigiwa simu na mstaafu kuhusu jamaa anavyoendesha nchi,KMK akaanza kumwaga siri.
Ikumbukwe Rais mpya alikuwa akilala saa nane au tisa anasikiliza simu za watu aliowatarget.

La haula akayanasa mazungumzo ya Katibu na mstaafu usiku mnene.

Palepale akampigia simu katibu kuwa YOU ARE FIRED,usiku huohuo akateua katibu mpya
JPM alihack simu za watu wengi sana.
Alikuwa anapenda chabo!!
 
Kumbe ndivyo ilikua?😄
 
JPM alihack simu za watu wengi sana.
Alikuwa anapenda chabo!!
Kuhack au kudukua simu kwa watu hatari kwa usalama wa nchi,wauza madawa,wasaliti na magaidi kupo duniani kote na katika idara ya usalama wa nchi kuna kitengo kabisa cha wataalam wa kazi hiyo.Sasa kama haumini anza kufanya yasiyoeleweka ndo utaelewa.
 
wewe unataka kututendesha dhambi asubuhi yote hii??? mikono yake safi??? manioko
weeeerrr.jpeg
 
Alikuwa hajaunda Cabinet. Alikuwa anaongoza nchi yeye,Ombeni Sefue na media. Hasa media imemsaidia sana,akina Jenerali,na headline zao,"MWAMBA!! AMEMTIMUA KAZI MTU MWINGINE!!"
Kabisa aisee
 
Kuhack au kudukua simu kwa watu hatari kwa usalama wa nchi,wauza madawa,wasaliti na magaidi kupo duniani kote na katika idara ya usalama wa nchi kuna kitengo kabisa cha wataalam wa kazi hiyo.Sasa kama haumini anza kufanya yasiyoeleweka ndo utaelewa.
Ni kweli ratizo la jpm alikuwa anadukua yeye mwenyewe wala sio wanausalama ahaaaa,aliwadukua JK,makamba ,nape,na kinana hawana hamu nae
 
Kitu ambacho unatakiwa kuelewa usalama boss wao ni rais na wanareport kwa rais.Kama kuna kitu kinaatarisha usalama wa rais na wakafanikiwa kukielewa lazima watoe taarifa kwa rais bila kujalisha anayefanya huo ujinga ni nani.Baada ya rais kupata habari kazi yake ni kujadili namna ya kudeal ni hiyo isseu kwa nguvu au kiplomasia kwa kuzingatia matokeo yake.Issue ya hao watu Jpm alideal nayo kiplomasi bila nguvu ili kupunguza tafulani kulingana na uzito wa wahusika ndo maana unaona hadi leo wanaweza kutamba.Mfano mwingine ni issue ya kibiti unafikiri jpm hakufahamu wahusika wakuu???Jibu ni kwamba aliwafahamu ili kupunguza tafulani ilibidi alimalize kimya kimya.Kutokana na hali hiyo wahusika kwasasa lazima wafurukute kujaribu kutafuta kurecover sychological kwa sababu wengine hawamini kama wanaishi peaceful pamoja na walioyafanya kwasababu hawakustahili hata kusimama mbele ya jamii.
 
Ni kweli ila mara kadhaa jpm alitumia njia tofauti na za kidiplomasia,ulimi wake haukuwa na breki na hakuwa ba kifua cha kuficha siri
 
Kama kuna sehemu diplomasi haikutumika jua palistahili kuwa hivyo.Kama kuna kitu ulikisikia tambua ulistahili kusikia.Rais ni tasisi kubwa na rais ndo kila kitu kwa mjibu wa katiba ya Tanzania.Kama angekuwa hana kifua leo hii nchi hii ingekuwa sio sehemu salama.Rais anasiri nyingi za nchi kuliko mtu yeyote pindi anapokuwa madarakini na rais ni mtu mwenye maadui wengi kuliko mtu yeyote na anawindwa kila upande kwasababu ndo mwenye mamuzi ya kila jambo katika nchii.Sasa kma JMP angesema siri kama unavyodai unadhani nchi hii ingafika wapi.??Always,marais waaafrika inachowatesa ni rafiki zao wakaribu na ukitafutiana nao ili uwe upande wa wananchi unatapatashida sana na matokeo yake ni muda mfupi wa kuishi.
 
Kubali kataa magufuli alikuwa hana kifua,si ajabu mdomo wake ndio uliomponza
 
Wala sio swala la kifua kwa misimamo yake na jinsi alivyokuwa kwa nchi yake ilikuwa lazima aponzeke na alitambua hilo na alijua ni swali la muda ila alimua kufanya kinachowekana kwa muda uliopo.Nikupe mifano kama JPM ni Samora Machel,Tomath Sankala,Nkwame Nkuruma,Gaadafi,Waziri mkuu wa kwanza wa Congo hawa wat sio kwamba hawakuwa na vifua sema tu hawakutii kuwa sehemu ya Neo colonialism na adhabu yake outomatic ni kifo na usipo kufa utahaibishwa na kuzalilishwa ukiwa hai.Kwa adhabu ya kuzalilishwa na uzalilishaji unafanywa na wale ulizani mko pamoja.Kwa udhalilishaji huu bora kufa.
 
Mi ningekuwa Jpm ningekimbiza mwizi kimya kimya ,sasa umtukane mzungu wakati kwenye moyo kuna betri na anayetakiwa kuifanyia service ni huyo mzungu,huo ni ujinga
 
Back
Top Bottom