Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Ni kweli ratizo la jpm alikuwa anadukua yeye mwenyewe wala sio wanausalama ahaaaa,aliwadukua JK,makamba ,nape,na kinana hawana hamu nae
Kwann hawa watu wasingekuwa wanakutana uso kwa macho kuongea yao
 
Kitu ambacho unatakiwa kuelewa usalama boss wao ni rais na wanareport kwa rais.Kama kuna kitu kinaatarisha usalama wa rais na wakafanikiwa kukielewa lazima watoe taarifa kwa rais bila kujalisha anayefanya huo ujinga ni nani.Baada ya rais kupata habari kazi yake ni kujadili namna ya kudeal ni hiyo isseu kwa nguvu au kiplomasia kwa kuzingatia matokeo yake.Issue ya hao watu Jpm alideal nayo kiplomasi bila nguvu ili kupunguza tafulani kulingana na uzito wa wahusika ndo maana unaona hadi leo wanaweza kutamba.Mfano mwingine ni issue ya kibiti unafikiri jpm hakufahamu wahusika wakuu???Jibu ni kwamba aliwafahamu ili kupunguza tafulani ilibidi alimalize kimya kimya.Kutokana na hali hiyo wahusika kwasasa lazima wafurukute kujaribu kutafuta kurecover sychological kwa sababu wengine hawamini kama wanaishi peaceful pamoja na walioyafanya kwasababu hawakustahili hata kusimama mbele ya jamii.
Bruh kwa ishu kama ya kibiti ina maana ilikuwa ni viongozi wanahusika kwasbb ya siasa 😯
 
Baada ya JPM kuingia madarakani kama tunavyokumbuka alichelewa kuunda serikali yake,

Kwa majuma kadhaa wlifanya kazi yeye na PM Kassim Majaliwa na Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue.

Kombinesheninilikuwa tamu mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na baraza la mawaziri.

Sasa bas huyu Katibu Ombeni Sefue alikuwa amemrithi toka kwa Jk,na nadhani alijisahau akaendelea kuwa mwaminifu kwa JK na jPM kwa wakati mmoja.

Jpm kitu cha kwanza ilikuwa kuhack simu za watu wake,alifunga hadi vinasa sauti kwenye magari yao bila kujijua

Kuna siku KMK akapigiwa simu na mstaafu kuhusu jamaa anavyoendesha nchi,KMK akaanza kumwaga siri.
Ikumbukwe Rais mpya alikuwa akilala saa nane au tisa anasikiliza simu za watu aliowatarget.

La haula akayanasa mazungumzo ya Katibu na mstaafu usiku mnene.

Palepale akampigia simu katibu kuwa YOU ARE FIRED,usiku huohuo akateua katibu mpya
😃😃 Mwendazake alikuwa hajiamini kabisa..

Mwisho wa siku kafa wenyewe wapo.
 
Kuhack au kudukua simu kwa watu hatari kwa usalama wa nchi,wauza madawa,wasaliti na magaidi kupo duniani kote na katika idara ya usalama wa nchi kuna kitengo kabisa cha wataalam wa kazi hiyo.Sasa kama haumini anza kufanya yasiyoeleweka ndo utaelewa.
Sasa hao uliowataja hawana hiyo hatari kwa Nchi kama unavyotaka kuaminisha..
 
Sasa bila kudukua si ndo angeishi na kina nape sijui membe kumbe wanamzungukaa wanataka kumuondoaa 😀 😀 😀 😀 makamba aliamua kukaza aisee bora afe kiume. Jamaa alikuwa na maadui wengi waliokuwa kwenye system na walioijua system kuliko rais yeyote yule bongoo...
Yuko wapi sasa? Alidukua wapinzani wake na sio wahalifu maana na yeye alikuwa mhalifu na genge lake..

Ni makosa kudukua simu za wapinzani wake na yeye kama Rais si ndio ana vyombo vyote sasa hiyo hatari ya Usalama wake inatoka wapi na team yote anaiunda mwenyewe?
 
😃😃 Mwendazake alikuwa hajiamini kabisa..

Mwisho wa siku kafa wenyewe wapo.
Jiwe alikuwa anajua anachofanya... Na alijua kuna watu nitawaumiza hasa... Hivyo aliamua kujihami katika kusikiliza maongezi ya watu... Hasa suala la usalama wake ili kama watu wanapanga ishu yoyote ajue mapema...

Alipenda kujua mambo binafsi ya watu... Una miliki nini.. Unamzungumziaje... Nk
Alikosea kuonyesha wazi kwamba nawadukua.. Watu wakabadili mbinu ikawa face to face au signal
 
Jiwe alikuwa anajua anachofanya... Na alijua kuna watu nitawaumiza hasa... Hivyo aliamua kujihami katika kusikiliza maongezi ya watu... Hasa suala la usalama wake ili kama watu wanapanga ishu yoyote ajue mapema...

Alipenda kujua mambo binafsi ya watu... Una miliki nini.. Unamzungumziaje... Nk
Alikosea kuonyesha wazi kwamba nawadukua.. Watu wakabadili mbinu ikawa face to face au signal
Ili iwaje?
 
Back
Top Bottom