Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni ule umbea wa kitaa, ukweli au uongo wa habari yenyewe hata haujulikani, tatizo la umbea unaweza kuta ukweli ni 1%, na uongo 99% ndio maana ya umbea 😊
Umbea twaambiwa "Sunna" hiyo!
 
Sasa issue ya Kova uliisikia? Yeye ndo aliitwa Ikulu na boss wake then wakafanyiwa kama wapo kwenye meeting na JPM, kumbe JPM akiwazuga kulikuwa na mzigo wa magendo unatakiwa kupita sehemu fulani mida hiyo, na mzigo ni wa mzee wa msoga! Ukafika mda ule mzigo kupita ukazuiwa askar, wale vijana wabeba mzigo wakapiga simu kwa mabos zao, mzee wa msoga akafikishiwa taarifa kuwa wamezuiwa, Mzee wa Msoga akaruka hewani kwa Elnest Mangu, hapo wakiwa kwenye kikao na JPM! simu ziko mezan maana JPM aliwaambia simu ziwekwe mezani!

Mangu aluambiwa usipokee kwanza, simu ukakata baada ya kukata simu ikaita kwa Kova kwa namba ileile msoga, sasa kova akaambiwa pokea weka Loud πŸ”Š ikabidi afanye hivo maana ni agizo tena! Sasa pale msoga hajui kitu akaanza kulalamika mbona mbona Mangu hapokei simu na vijana kule mnawapa shida? Basi kova ikabidi aseme ywapo kwenye kikao na No. 1.

Baada ya hapo walifunguka yote na ndiyo maana Kova alistaafu kwa hiyari.

Usione Msoga anamsema vibaya mzee wa Chato anachukinae kwenye mengi
 
Yeye JPM alikuwa hamsemi JK kwa namna fulani?
Jk na Jpm walikuwa wabarushiana vijembe hadharani,kuna siku Jpm alikuja Udsm ile siku aliyosema udom ni vilaza,sasa Jk ni mkuu wa chuo udsm,
Alitamka adharani kuwa dunia duara,niliyekuwa na mtuma sasa yexe ndio ananituma,akasema mimi ni mkuu wa chuo ila usipotoa bajeti ya kukuiendesha usinilaumu huku anacheka ila Jpm alikuwa kanuna hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…