Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Ni kweli ratizo la jpm alikuwa anadukua yeye mwenyewe wala sio wanausalama ahaaaa,aliwadukua JK,makamba ,nape,na kinana hawana hamu nae
Kwann hawa watu wasingekuwa wanakutana uso kwa macho kuongea yao
 
Bruh kwa ishu kama ya kibiti ina maana ilikuwa ni viongozi wanahusika kwasbb ya siasa 😯
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Mwendazake alikuwa hajiamini kabisa..

Mwisho wa siku kafa wenyewe wapo.
 
Kuhack au kudukua simu kwa watu hatari kwa usalama wa nchi,wauza madawa,wasaliti na magaidi kupo duniani kote na katika idara ya usalama wa nchi kuna kitengo kabisa cha wataalam wa kazi hiyo.Sasa kama haumini anza kufanya yasiyoeleweka ndo utaelewa.
Sasa hao uliowataja hawana hiyo hatari kwa Nchi kama unavyotaka kuaminisha..
 
Yuko wapi sasa? Alidukua wapinzani wake na sio wahalifu maana na yeye alikuwa mhalifu na genge lake..

Ni makosa kudukua simu za wapinzani wake na yeye kama Rais si ndio ana vyombo vyote sasa hiyo hatari ya Usalama wake inatoka wapi na team yote anaiunda mwenyewe?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Mwendazake alikuwa hajiamini kabisa..

Mwisho wa siku kafa wenyewe wapo.
Jiwe alikuwa anajua anachofanya... Na alijua kuna watu nitawaumiza hasa... Hivyo aliamua kujihami katika kusikiliza maongezi ya watu... Hasa suala la usalama wake ili kama watu wanapanga ishu yoyote ajue mapema...

Alipenda kujua mambo binafsi ya watu... Una miliki nini.. Unamzungumziaje... Nk
Alikosea kuonyesha wazi kwamba nawadukua.. Watu wakabadili mbinu ikawa face to face au signal
 
Ili iwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…