Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Ili iwaje?
Tabia ya mtu...
Mfano alikuwa anamfuatilia waziri mkuu mstaafu fulani lengo aje kwake kama kumtii au kumsujudu..

Jiwe katika kufukunyua akaona ana mashamba Mbulu.. Karatu.. Moro .. Akanyakua moja la Moro.. Jamaa bado anajiona jasiri..
Jiwe akanyakua shamba la pili.. Kesho yake jamaa huyoo spidi 200 akajisalimisha kwa Mfalme Jiwe ili asifilisike...

Usione Kinana yupo kimya.. Alikuwa anapelekewa moto kimya kimya mpaka akaomba poo.. Jiwe ndio akatulia
 
Yaani kuna watu walifurahi kimya kimya jamaa alivyokata moto hasa viongozi wastaafu
 
Yaani kuna watu walifurahi kimya kimya jamaa alivyokata moto hasa viongozi wastaafu
Mkuu unasema wastaafu...?

Yaani kila mtu ataondoka ila wafanyabiashara.. Watu wa NGO's, Ex Directors wa Makampuni.. Wafanyakazi. tena wa Serikali. . Nk nk watu walinunua vinywaji wakanywa kidogo na wao wafe kwa kupitiliza..

Kuna watu walinunua mbuzi... Wengi tuu....
 
Mi pia nilifurahi ila baadae nikaingiwa na kahuruma nimemsamehe ila sitamsahau yule mwamba
 
Humu JF mtu anakuletea maongezi Hadi ya watu walopigiana simu mfano A kasema hivi na B kajibu vile.

Unabaki unajiuliza msimuliaji alisimama wapi kusikiliza yote

Wako vizuri humu
Mtu anadiriki kusema kuwa JPM alikuwa anafunga vinasa sauti kwenye magari yao. Ni mjinga tu ndiye takayekubaliana na ujinga huo kwani kazi ya kufunga vinasa saudi kwenye gari inahitaji ufundi na muda ambao JPM hakuwa nao. Na vinasa sauti hivyyo haviwezi kufungwa bila dereva wa gari lenyewe kutambua. Umbea wa ajabu sana
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,hivi ukisema kuwa Mr X amejenga nyumba nzuri unadhani yeye ndio alibeba tofali au alitoa hela.
JPM alishinikiza vitu vingi kwenda tofauti na mazoea ya ikulu
Kuhusu magari kufungwa vinasa sauti.ni kazi ya PSU gari inapelekwa service inafungwa vinasa sauti hata dereva hajui kitu,
Jamaa alikuwa muoga sana na alidukua sana mawasiliano
 
Wewe ndiye huna akili kabisa kama hujui kuwa magari ya serikali yanasimamiwa na idara tofauti kabisa, hayasimamiwi na Rais. Rais hawezi kuamua magari yanayotumiwa na viongozi wa serikali yawekewe spea zipi au features zipi, kwani siyo yake. Gari la waziri linaweza kubadilishwa wakati wowote.
 
haula akayanasa mazungumzo ya Katibu na mstaafu usiku mnene.

Palepale akampigia simu katibu kuwa YOU ARE FIRED,usiku huohuo akateua katibu
Alikuwa mshenzi wa tabia yule rais mpya. Akitaka aabudiwe kama Mungu. Nonsense!
 
Huna akili,wafanyakazi wa ikulu wote gari zao ziko chini ya ofisi ya Rais,watu wa usalama wana access nazo sana tu
 
Sasa yeye ndo amekuwa fired mazima wakati JK na Sefue wanaendelea kutesa
 
Huna akili,wafanyakazi wa ikulu wote gari zao ziko chini ya ofisi ya Rais,watu wa usalama wana access nazo sana tu
Pumba tupu! Rais ndiye anayetoa maagizo namna ya kuzifanyia matengezo?
 
Kama umetunga simulizi hii, wewe ni mtunzi mzuri. Andika kitabu!

Lakini nadhani kuna ukweli, huenda jina lako linaakisi (ni ushuhuda) tosha wa kumfanya msomaji aamini ulichoandika.
 
Alale pema peponi kamanda
 
Sasa yeye ndo amekuwa fired mazima wakati JK na Sefue wanaendelea kutesa
Hakuna cha kutesa bali wanateseka na wanaangaika ndo maana unaona happy birthday mpaka usiku wa manane.Kwanini ucjuilize hicho mtu mzima wa miaka 72 ucku wa manane u anatafuta nini???...Hiyo inaitwa sychological conflict.
 
Kwani kazi ya kudukua mawasiliano ni kazi ya Raisi? Mbona alidukua,una uwelewa mdogo wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…