Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Tabia ya mtu...Ili iwaje?
Mfano alikuwa anamfuatilia waziri mkuu mstaafu fulani lengo aje kwake kama kumtii au kumsujudu..
Jiwe katika kufukunyua akaona ana mashamba Mbulu.. Karatu.. Moro .. Akanyakua moja la Moro.. Jamaa bado anajiona jasiri..
Jiwe akanyakua shamba la pili.. Kesho yake jamaa huyoo spidi 200 akajisalimisha kwa Mfalme Jiwe ili asifilisike...
Usione Kinana yupo kimya.. Alikuwa anapelekewa moto kimya kimya mpaka akaomba poo.. Jiwe ndio akatulia