Balozi Polepole hapoi, hachoshi na anaongea kimamlaka. Azionya Wizara ya Afya na TAMISEMI

Usiumize kichwa huyo ni rais ajaye.
 
Pascal Mayalla hii issue inahitaji investigative journalism?
 
Kwa akili za Watanzania, ukitaka uonekane wa Maana unachotakiwa kufanya ni kufokafoka tu.

Ni vyema kakumbuka kuwa huo mradi ni juhudi za Kikwete.
Ndiyo style yake ya kuongea, unataka aongee kama mpoza wa kizenji?

Angekuwa Ali, Athuman au Abdul usingesema haya una chuki na majina ya John, Humphrey, Leonard, Philip

Udini utakumaliza
 
Hii ishu kuna mbunge alishaizungumzia bungeni, iko hivyo hivyo serikali hainunui dawa kwenye kiwanda chake halafu inaagiza nje, kama kuna upande mwingine tusioujua uweke wazi
Huyo bibi na wenzie wanaendeshwa kwa "interest" zao awamu hii, akili zao wameziweka kapuni, ni wakumtazama tu.
 
Nimeisikiliza kwa makini, bado haijazama kwangu, kwasababu ni issue ya medicine, na chemical, sio issue ya IJ ni issue ya professional investigation.
P
Lakini in a view side of point (🤣) naweza kusema CCM inaulea vyema mfumo wa kuidhoofisba nchi kwa sababu siyo kwamba haya hayajulikani bali yanafutikwa....

Ndugu yangu Mavere Tukai wa MSD anashindwa nini kupeleka dokezo kwa mamlaka ya uteuzi kuhusu mkwamo wa approvals ya dawa zinazozalishwa hapa nchini?
 
Mnajua kudhalilisha watu.

Polepole na Mwalimu Nyerere, wapi na wapi!! Ni sawa na kufananisha jongoo na farasi.
 
Huyu jamaa ni kweli mchapakazi na mzalendo ila aina ya siasa zake kali za kijamaa mm huwa sizikubali kabisa..maana nchi yetu kwa sasa haiitaji siasa za aina hiyo.

Ila ni mtu muungwana na mwenye dhati ya kweli kabisa.
Saa100 watu kama hawa huwa. Hawapendi
 
Huyu jamaa ni kweli mchapakazi na mzalendo ila aina ya siasa zake kali za kijamaa mm huwa sizikubali kabisa..maana nchi yetu kwa sasa haiitaji siasa za aina hiyo.

Ila ni mtu muungwana na mwenye dhati ya kweli kabisa.
Watu wa hivi ni WA kutanguliza mbele,hawafai kabisaa ni hatari kwa ustawi na usalama wa Nchi..

Duniani kote wanapigwa vita
 
Natamani huyu mwamba agombee Urais 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…