kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Alinyamazishwa ila maji yamemfika shingoni, kakumbuka uzalendo wa JPM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamlinda. Hapaharibiki kituAchukue tahadhari tu lile kundi kimekunywa damu za wazalendo wengi
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!
Ni kweli wazuri Hawafi.
Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.
Usiumize kichwa huyo ni rais ajaye.Jambo Jambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huyu Jamaa anakichwa kigumu, alivyotolewa malawi na kupelekwa Cuba watu wakaanzisha nyuzi mbalimbali kuwa “Jamaa wamemuweza” “Wamemkomoa” “wamemuua kisiasa” na bla blaa kibao.
Jamaa hana muda mrefu toka ateuliwe kuwa balozi wa cuba tayari yuko Tanzania kwenye ziara ya uzinduzi wa kiwanda cha kuua vidudu vya malaria chenye uwekezaji wa zaidi ya Billion 100.
Aliongozana na wajumbe mbali mbali wa ubalozi wa cuba nchini Tanzani na Balozi w ubalozi huo.
(Ila nahisi tu hizi zote ni mbinu za PolePole ku”organise” Hivi viziara ili mradi awaonyeshe wahuni kuwa hawawezi kumuua kisiasa)
Huyu Jamaa mbishi na nawaambia hizi ruti haziiishi tutakuwa tunamuona mara kwa mara kama vile waziri au mbunge kutwa ziara za ndani huku Cuba pakiwa hapakaliki[emoji23]
MABALOZI WENGINE TOKA WATEULIWE TUNA MIAKA HATUJAWAONA WAMETULIA TULI ILA HUYU BALOZI POLEPOLE DAAAH[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2619653
Cuba mpka Pwani na utashangaa anakaa mwezi [emoji23][emoji23]
Maskini wahuni hawamuwezi Slow Slow.
Nshomile
Kwasasa
Kahama. Tanzania
Kitulize kikongweKwa akili za Watanzania, ukitaka uonekane wa Maana unachotakiwa kufanya ni kufokafoka tu.
Ni vyema kakumbuka kuwa huo mradi ni juhudi za Kikwete.
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!
Ni kweli wazuri Hawafi.
Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.
Ndiyo style yake ya kuongea, unataka aongee kama mpoza wa kizenji?Kwa akili za Watanzania, ukitaka uonekane wa Maana unachotakiwa kufanya ni kufokafoka tu.
Ni vyema kakumbuka kuwa huo mradi ni juhudi za Kikwete.
Nimeisikiliza kwa makini, bado haijazama kwangu, kwasababu ni issue ya medicine, na chemical, sio issue ya IJ ni issue ya professional investigation.Pascal Mayalla hii issue inahitaji investigative journalism?
Kiroboto katika ubora wakeKudos to @HPolepole
Na watakao mpeleka na wao watapelekwa.Huyo Polepole awe makini, akiendeleza "usumbufu" wake mwishowe itabaki sehemu moja pekee ya kumpeleka..
Huyo bibi na wenzie wanaendeshwa kwa "interest" zao awamu hii, akili zao wameziweka kapuni, ni wakumtazama tu.Hii ishu kuna mbunge alishaizungumzia bungeni, iko hivyo hivyo serikali hainunui dawa kwenye kiwanda chake halafu inaagiza nje, kama kuna upande mwingine tusioujua uweke wazi
Lakini in a view side of point (🤣) naweza kusema CCM inaulea vyema mfumo wa kuidhoofisba nchi kwa sababu siyo kwamba haya hayajulikani bali yanafutikwa....Nimeisikiliza kwa makini, bado haijazama kwangu, kwasababu ni issue ya medicine, na chemical, sio issue ya IJ ni issue ya professional investigation.
P
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!
Ni kweli wazuri Hawafi.
Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.
Saa100 watu kama hawa huwa. HawapendiHuyu jamaa ni kweli mchapakazi na mzalendo ila aina ya siasa zake kali za kijamaa mm huwa sizikubali kabisa..maana nchi yetu kwa sasa haiitaji siasa za aina hiyo.
Ila ni mtu muungwana na mwenye dhati ya kweli kabisa.
Watu wa hivi ni WA kutanguliza mbele,hawafai kabisaa ni hatari kwa ustawi na usalama wa Nchi..Huyu jamaa ni kweli mchapakazi na mzalendo ila aina ya siasa zake kali za kijamaa mm huwa sizikubali kabisa..maana nchi yetu kwa sasa haiitaji siasa za aina hiyo.
Ila ni mtu muungwana na mwenye dhati ya kweli kabisa.
Wengi hawana uwezo hata ya kusoma makala moja ya gazeti hawawezi kujuaKwa akili za Watanzania, ukitaka uonekane wa Maana unachotakiwa kufanya ni kufokafoka tu.
Ni vyema kakumbuka kuwa huo mradi ni juhudi za Kikwete.
Nchi hii sasa hivi kila mtu kawa zuzuMnajua kudhalilisha watu.
Polepole na Mwalimu Nyerere, wapi na wapi!! Ni sawa na kufananisha jongoo na farasi.
Natamani huyu mwamba agombee Urais 2025Jambo Jambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huyu Jamaa anakichwa kigumu, alivyotolewa malawi na kupelekwa Cuba watu wakaanzisha nyuzi mbalimbali kuwa “Jamaa wamemuweza” “Wamemkomoa” “wamemuua kisiasa” na bla blaa kibao.
Jamaa hana muda mrefu toka ateuliwe kuwa balozi wa cuba tayari yuko Tanzania kwenye ziara ya uzinduzi wa kiwanda cha kuua vidudu vya malaria chenye uwekezaji wa zaidi ya Billion 100.
Aliongozana na wajumbe mbali mbali wa ubalozi wa cuba nchini Tanzani na Balozi w ubalozi huo.
(Ila nahisi tu hizi zote ni mbinu za PolePole ku”organise” Hivi viziara ili mradi awaonyeshe wahuni kuwa hawawezi kumuua kisiasa)
Huyu Jamaa mbishi na nawaambia hizi ruti haziiishi tutakuwa tunamuona mara kwa mara kama vile waziri au mbunge kutwa ziara za ndani huku Cuba pakiwa hapakaliki[emoji23]
MABALOZI WENGINE TOKA WATEULIWE TUNA MIAKA HATUJAWAONA WAMETULIA TULI ILA HUYU BALOZI POLEPOLE DAAAH[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2619653
Cuba mpka Pwani na utashangaa anakaa mwezi [emoji23][emoji23]
Maskini wahuni hawamuwezi Slow Slow.
Nshomile
Kwasasa
Kahama. Tanzania
Joseph Mbilinyi a.k.a SUGU (Mr. II au 2Proud); aliwahi kulalamikia masuala ya malaria. Sina hakika kiwanda Hiki kilikuwa kimeishajengwa ama bado?...kuhusu hicho kiwanda?...
UsimtisheNyie.mvimbisheni kichwa tu lakini mjue nazi haiwezi shindana na jiwe. I have spoken!