Balozi Polepole kuanzia chuo cha Diplomasia apigwe msasa then akutane na Rais kabla ya kutimkia Malawi

S

Sasa wewe uko humu jamiiforum kufanya nini? Acha watu watoe maoni yao, ndio afya ya akili.
Huyo Anatesema Akiwa Wapi
Ama Anafikiria Malaika Watashuka Wazime Mitandao Kama Wakati Wa Mzilankende
 
Hongera na Pongezi nyingi ziende kwa Balozi polepole..

Bado wadanganyika kuna vitu tunaendelea kujifunza kutoka kwa wanasiasa...
 
Hii inaitwa Mbwa kala Mbwa , maaneeneeer .wapi V8 , wahuniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh kajichanganya hukuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kwisha habari yake 😄😄😄😄 maana alizidi Sana mdomo wakati wa JIWE alinyuti lakini kipindi cha Samia anajifanya anaupiga MWINGI.
 
Yaani hapo ndipo utajua "HUJUI"...Yaani Mwalimu wa darasa la the so called "SHULE YA UONGOZI" anaenda kukalishwa darasani kufundishwa juu ya uongozi na wale aliokuwa akiwapa darasa yeye mwenyewe....mbavu zangu mie...Lol "Shule ya Uongozi" my Foot🤣😂
😇
 
Nyinyi pigeni story huku mtaani ila mwenzenu anaendelea kuijaza CV yake vizuri kwa safari ya huko mbeleni.

Waswahili tuendelee na utamaduni wetu kwa muuza kahawa.
Ni bora kujaza CV ukiwa huru kuliko ukiwa kwenye hali aliyo nayo Pole Pole kwa sasa.

Kama hunielewi najaribu kusema kuwa ni bora utafute kukuza CV kwa njia muafaka kuliko kutumia njia zile za Covid-19 au Ndugai.

Dunia ya sasa haikuachi na deni!
 
Wahuuuuniiii... Au basi🤣🤣🤣
 
Katika kipindi cha miaka nane tu Polepole anaendelea kuboresha wasifu wake kwa mawe mazito mazito tu;
  • Mjumbe wa kamati ya rasimu ya katiba
  • Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM
  • Mbunge wa kuteuliwa katika Bunge la JMT
  • Shahada ya uzamili IDS UDSM
  • Cheti cha ushiriki masuala ya kidemokrasia kutoka Chuo cha Demokrasia
  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi

Kwa umri wake huu ni mtaji mkubwa sana kwake. Akiwa huko Malawi kama balozi anaweza pua kusoma shahada yake nyingine ya uzamivu taratiiiibu.
 
Aache Uhuni sasa🤣

Apate "Shule ya Uongozi" kwanza ndo aende Malawi babeki, hana adabu!
 
Ana umri gani?
 
Ningekuwa Mimi ssh Polepole ningempeleka chuo Cha ubaharia akajifunze Uchumi wa buluu wa kuogelea ziwa Nyasa kwa wamanda wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…