GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.

Kikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.
Samia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?

Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!

Hoja ya kijinga Sana hii.
 
Mimi Binafsi Carlos The Jackal , Kwa namna ninavyomjua Mzee Wasira .

Mzee ambaye Roho yake imejaa Uchu wa Madaraka.

Pale Bunda Mzee Wasira Enzi za uchaguzi alikua akitenda Matukio ya kikatili sana dhidi ya Washindani wake Ndani ya CCM.

Aliwahi Hadi kumpiga Kipigo mshindani wake

Ni Wassira huyuhuyu aliyekimbizana na Akina Esther Mahakaman kisa Ubunge!.

Mzee huyu Wassira sahizi pale kamchomekea KIJANA wake Ubunge .

ITOSHE KUSEMA, MZEE WASSIRA NI WAZEE WA AJABU SAN NCHI HII, HUWEZI KUMUWEKA BUS MOJA NA AKINA MZEE WARIOBA, MZEE BUTIKU !!.
 
Hii hoja siyo ya kijinga huu ni mtego ambao Samia mwenyewe anatakiwa kuujibu. Kuna uwezekano na yeye ni mmoja wao, Kuna uwezekano amezungukwa na watu anaodhani Wana msaada na yeye hapo alipo au Inawezekana anaogopa labda Wana nguvu ya kumuua. Muda siyo mrefu tutapata jibu sahihi mambo yanachemka chini kwa chini. Chama hakiwezi kukabidhiwa kwa majambazi.
 
Mimi Binafsi Carlos The Jackal , Kwa namna ninavyomjua Mzee Wasira .

Mzee ambaye Roho yake imejaa Uchu wa Madaraka.

Pale Bunda Mzee Wasira Enzi za uchaguzi alikua akitenda Matukio ya kikatili sana dhidi ya Washindani wake Ndani ya CCM.

Aliwahi Hadi kumpiga Kipigo mshindani wake

Ni Wassira huyuhuyu aliyekimbizana na Akina Esther Mahakaman kisa Ubunge!.

Mzee huyu Wassira sahizi pale kamchomekea KIJANA wake Ubunge .

ITOSHE KUSEMA, MZEE WASSIRA NI WAZEE WA AJABU SAN NCHI HII, HUWEZI KUMUWEKA BUS MOJA NA AKINA MZEE WARIOBA, MZEE BUTIKU !!.
Na inavyoonekana hata hii nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama waliangalia mtu wanaeweza kwenda nae mbinafsi na asiye na misimamo katika kusimamia misingi ya chama na nchi. Wamejaza ndugu zao kwenye nafasi za ubunge kote nchini hivi watoto wa wakulima watakuja kuwa viongozi lini hapa Tanzania? Aisee kama wewe ni mwana CCM usikubaliane na huu upuuzi kabisa Mimi sitakubali.
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaioenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.
Huo ni ukweli mchungu,,,
 
Back
Top Bottom