GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yaani Hadi hamuhuri inatekwa na watu wanausalama wanafanya nini!!?
Kama ulimsikiliza vizuri gwajima wakuu zaidi ya watatu wa idara ya usalama wameondolewa katika nafasi zao katika kipindi kifupi sana cha utawala wa Samia unajua maana yake ni nini? Amewekwa mtu wa usalama atakaekubali kwenda na mfumo unavotaka. Gwajima alipotoka ushauri Rais apunguziwe mamlaka ya kuwaondoa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama serikali ya Samia ikavamia kanisa lake Kufunga na kuwakamata waumini .
 
Kwa nini Magu alisema mhuni anawashwawashwa?
Alimuona anataka kumpanda kichwani kama anavyompanda Samia. Magufuli alivoingia alifanya ambayo wanamtandao hawakuyatarajia. Walidhani atakua mwenzao.

We hushangai leo Samia anajitam ulisha kuwa nae ana bossi wake ambaye ni Kikwete hivi nchi hii Kuna boss kumzidi Rais?
 
Uwezekano mwingine ni kwamba anasikia, anaona na anaelewa ila ndio hivyo unaweza kuta amewekwa mtu kati na 'maboss' zake anajikuta hana cha kufanya, as long as na yeye anafaidika anaona ya nini miee!
Exactly
 
Watanzania wanatakiwa kupaza sauti Tanzania ni mali yetu sote siyo mali ya kikundi cha wachache wanaotaka kujinufaisha. Polepole amekuwa jasiri sana sijui watamfanyaje wakimkamata.
Polepole amejitoa muhanga Sana bahati mbaya Hana sapoti direct ya kutosha kutoka kwa majority tunaishia tu kusema mitandaoni, mwisho wa siku anachoka na kuona anapoteza muda kuwasemea viziwi na vipofu
 
Polepole amejitoa muhanga Sana bahati mbaya Hana sapoti direct ya kutosha kutoka kwa majority tunaishia tu kusema mitandaoni, mwisho wa siku anachoka na kuona anapoteza muda kuwasemea viziwi na vipofu
Polepole ana sapoti ambayo haijajiweka wazi sana na mkakati upo hivyo ni suala la timing tu Kila kitu kimepangiliwa vyema kuhusu nani aongee Nini na kwa wakati gani. Unadhani polepole kujiuzulu na kurudi nchini kuyaongea haya hajui madhara yake?
 
Polepole amejitoa muhanga Sana bahati mbaya Hana sapoti direct ya kutosha kutoka kwa majority tunaishia tu kusema mitandaoni, mwisho wa siku anachoka na kuona anapoteza muda kuwasemea viziwi na vipofu
Hapana mkuu, hii kitu ina impact kubwa sana na uzuri ushahidii wa kimazingira unajionyesha wenyewe na mfano ni Mke wa JK na mwanae kupita bila kupingwa bila kusahau Bii Mkubwa nae mwanae na mkwe wake wote wamepitishwa kuwa wagombea.
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.
Hutaki sisi waislamu tutawale nchi kwa amani kwanini wewe na polepole mnachuki sana na rais muislamu
 
Back
Top Bottom