GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi Binafsi Carlos The Jackal , Kwa namna ninavyomjua Mzee Wasira .

Mzee ambaye Roho yake imejaa Uchu wa Madaraka.

Pale Bunda Mzee Wasira Enzi za uchaguzi alikua akitenda Matukio ya kikatili sana dhidi ya Washindani wake Ndani ya CCM.

Aliwahi Hadi kumpiga Kipigo mshindani wake

Ni Wassira huyuhuyu aliyekimbizana na Akina Esther Mahakaman kisa Ubunge!.

Mzee huyu Wassira sahizi pale kamchomekea KIJANA wake Ubunge .

ITOSHE KUSEMA, MZEE WASSIRA NI WAZEE WA AJABU SAN NCHI HII, HUWEZI KUMUWEKA BUS MOJA NA AKINA MZEE WARIOBA, MZEE BUTIKU !!.

Enzi za Mwal. yupo
Enzi za Mwinyi yupo
Enzi za Mkapa yupo
Enzi za J.K yupo
Enzi za JPM yupo
Enzi za SSH yupo

Tanzania nchi yangu!!!!
 
Alimuona anataka kumpanda kichwani kama anavyompanda Samia. Magufuli alivoingia alifanya ambayo wanamtandao hawakuyatarajia. Walidhani atakua mwenzao.

We hushangai leo Samia anajitam ulisha kuwa nae ana bossi wake ambaye ni Kikwete hivi nchi hii Kuna boss kumzidi Rais?
Tafadhali ndugu Sir John Roberts naomba kipande cha video Rais Samia akiongelea kuwa na "bosi".
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.
Kwani stori imebadilika au kahackiwa?
 
Kikwete na kundi lake wanatuharibia nchi. Polepole ameapa kulala nao mbele. Napata mashaka hata na kifo cha marehemu Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida.
Anaweza kuwa sahihi lakini kipindi yuko kundi la watesaji akina Jiwe hakuweza kusema haya. Binafsi simwamini aliyepo na wala siwaamini Sukuma gang
 
Mahesabu yapi?
Nitazungumza mwa fumbo.. kama upo tayari.. ipo hivi.. mwanzo.. kuna line ya watu wa mama na kuna bibo mmoja mshaghuli kweli, na ndani kuna kiti, alikuwa amekaa mtu.. wale na kiongozo bibi walitaka agenda kumtoa mtu, na yule mtu akategewa katoto akale mzigo ili kumtoa nguvu ikawa hovyoo.. kiti kikawa kitupu.. ikapita kaita wakuu wawili ila mkuu mmoja anakuwa feeding na wakuu wawili hataki kujichanganya nao..then wamendaandaa kitu ghafla simuoni
 
Duuuh aya
 
Back
Top Bottom