mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
UongoUnabii unasema Atakayeshinda Hatotawala
Kwishaaaa
UongoUnabii unasema Atakayeshinda Hatotawala
Kwishaaaa
I appreciate n accept itAsali hio unayoilamba na kuila, Baba wa Mbinguni atakufanya uinye siku Moja ...siku yaja ewe mwanadamu ..okoka ..😁
Nilisikia tetesi kuwa hata ndani ya huo uchalama wako wazee wa mtandao... Ambao walitafutiwa kazi na kuingizwa kwa ma kusudi ktk mifumo, sasa kama kweli maanake hata jeshi na polisi wanakamtandao kao.. Labda ndio maana tunaona uvunjifu wa haki na uonevu wa wazi kwa Lissu pale mahakamani... Labda,Yaani Hadi hamuhuri inatekwa na watu wanausalama wanafanya nini!!?
Sema neno
Siku ukiwa na akili utanielewa . Hapa hatujadili dini za viongoziWewe unapondaga wakristo iweje leo uwatete hayo mapenzi kwa wakristo yameanza lini
Unanijibu Mimi au polepole?Sisi waislamu tulioko ndani ya mfumo tunamkubali na tutamlinda
Angalia YouTube kwenye uzinduzi wa hema la nabii mwamposa utasikia.Tafadhali ndugu Sir John Roberts naomba kipande cha video Rais Samia akiongelea kuwa na "bosi".
Kwa kauli hizi za rostam namuonea huruma polepole huruma vita aliyoamua kuingia ni kubwa.Mwanamtandao katoka mafichoni
Sijui tumuulize mwenyewe polepole atoe majibu.Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Layman anaweza kuwa ni mtu wa namna gani kwa muktadha huu?
Uwezo mdogoWahuni siyo watu wazuri hata kidogo! Sijui wamemlisha nini Bibi yetu wa Kizimkazi. Maana hasikii, haoni, haelewi!!
Jiwe aliyethubutu kiwachukulia hatua Leo hii yupo wapi!? Akili kumkichwa, hao watu hawawezekaniki, ni level zingine kabisaSamia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?
Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!
Hoja ya kijinga Sana hii.
Je wewe umefanya Nini kumsapoti Pole pole, ugumu unaopata wewe wa kutofanya chochote na wengine wanapata ugumu huo huoPolepole amejitoa muhanga Sana bahati mbaya Hana sapoti direct ya kutosha kutoka kwa majority tunaishia tu kusema mitandaoni, mwisho wa siku anachoka na kuona anapoteza muda kuwasemea viziwi na vipofu
Alitakiwa ajiuzuluJiwe aliyethubutu kiwachukulia hatua Leo hii yupo wapi!? Akili kumkichwa, hao watu hawawezekaniki, ni level zingine kabisa
Siyo kila mtu anaridhika na asali kuna wengine wanapenda waone haki za watu zikitendeka kwa matendo.Acheni kelele uchwara zenu
Tafuta chimbo ulambe asali
Watamkata pumbu raundi hiiWatanzania wanatakiwa kupaza sauti Tanzania ni mali yetu sote siyo mali ya kikundi cha wachache wanaotaka kujinufaisha. Polepole amekuwa jasiri sana sijui watamfanyaje wakimkamata.
Support anayopewa mtandaoni inatia moyo. Sote tunajua nini kitafata ukionekana kwenye media live unafanya ambacho CCM hawakipendi.Polepole amejitoa muhanga Sana bahati mbaya Hana sapoti direct ya kutosha kutoka kwa majority tunaishia tu kusema mitandaoni, mwisho wa siku anachoka na kuona anapoteza muda kuwasemea viziwi na vipofu
Huhitaji kumuonea huruma muombee afanikishe dhamira aliyonayo, km unahofia kifo hakuna atakayeishi milele hata uwe humble namna gani kwa watawala muda wa kukata moto ukifika utaondoka tuKwa kauli hizi za rostam namuonea huruma polepole huruma vita aliyoamua kuingia ni kubwa.
Una changamotoI appreciate n accept it
Nampenda sana Mungu wangu
Amenivusha kwenye mambo mengii
Pia amesema heshimuni mamlaka zilizopo