GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Samia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?

Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!

Hoja ya kijinga Sana hii.
Mkuu uwezi kuchukuwa hatua kiraisi yaani wao ndio wanakuongoza na Bado wanakupigania uendelee kuwepo na ndio maana polepole amesema yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na ndio serikali ya pili ambayo inayoendeaha nchi ambayo haitambuliki na ambao ndio Ina nguvu huyu polepole ukimsikiliza kimakini Kuna mambo mengi anayajua yapo nyuma ya pazia na ndio maana hao hao ccm wanampinga vikali na ndani ya ccm Kuna matabaka yameshagawanyika Yale yanayosema ukweli yameshamalizwa
 
AIsee

Alisikika mtoto wa mkulima akisema Cwenye chama wameamua 😳 ! 😱🤷🏾‍♂️🎭 !
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.
Kwenye hiki ulichoandika ulitaka Serikali au Viongozi wajibu hoja gani?
 
Alimuona anataka kumpanda kichwani kama anavyompanda Samia. Magufuli alivoingia alifanya ambayo wanamtandao hawakuyatarajia. Walidhani atakua mwenzao.

We hushangai leo Samia anajitam ulisha kuwa nae ana bossi wake ambaye ni Kikwete hivi nchi hii Kuna boss kumzidi Rais?
Ooh hapa inamake sense.
Magufuli alikuwa mbabe asiye na hofu akavunjavunja mifumo yao waliyoipandikiza akaweka watu wapya kila mahali.
Kuanzia hapo ndio wakaanza kumchukia
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.
Umbea wa mitaani umeshika hatamu
 
Yeye mwenyewe layman asijitukuze akajipa ukuu ambao hana.
 
Unadhani polepole alikuwa halambi asali?
Mzee wa Vieite ni wale wale tu. Anamsagia kunguni baada ya Mabeyo kuzuia upuuzi ambao kundi lake lilitaka kufanya mwaka 2021 baada ya JPM kufariki dunia.

Mabeyo alicheza kama Pele baada ya kifo cha JPM vinginevyo nchi hii ilikuwa kwenye kundi la Pole Pole ambalo muda huu limekuja na huu uzi kujaribu kutengeneza uhalali wa uwepo wao.

Hakuna msafi ndani ya CCM kila anayeongea na kumnyooshea kidole mwenzake na yeye ananuka uchafu.
 
Ninachokionq hapa Polepole anapiga kelele kuwakilisha sukuma gang ambayo imesukumwa pembeni hivi sasa. Hata Musiba amepatwa na msiba mkubwa, amelalama kweli kweli.

Kusema kuwa Samia amwzungukwa na wanamtandao kunafoa tafsiri kwamba Samia ni mwema Ila wanamtandao ndiyo wabaya. Jambo ambalo si kweli. Kwann Polepole anaonekana kujikomba kwa Samia na kumnanga Kikwete muda wote??
Kwa sababu Kikwete ni muuaji,yaani unaelewa taratibu
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.
Wewe mlamba makalio ya makada na ww umegeukwa?
 
Polepole ana sapoti ambayo haijajiweka wazi sana na mkakati upo hivyo ni suala la timing tu Kila kitu kimepangiliwa vyema kuhusu nani aongee Nini na kwa wakati gani. Unadhani polepole kujiuzulu na kurudi nchini kuyaongea haya hajui madhara yake?
Hata mimi hiki kitu kinanifikirisha sana kujiuliza je ana kinga gani?
 
Hapana mkuu, hii kitu ina impact kubwa sana na uzuri ushahidii wa kimazingira unajionyesha wenyewe na mfano ni Mke wa JK na mwanae kupita bila kupingwa bila kusahau Bii Mkubwa nae mwanae na mkwe wake wote wamepitishwa kuwa wagombea.
Mwanae anagombea wapi?
 
Hii hoja siyo ya kijinga huu ni mtego ambao Samia mwenyewe anatakiwa kuujibu. Kuna uwezekano na yeye ni mmoja wao, Kuna uwezekano amezungukwa na watu anaodhani Wana msaada na yeye hapo alipo au Inawezekana anaogopa labda Wana nguvu ya kumuua. Muda siyo mrefu tutapata jibu sahihi mambo yanachemka chini kwa chini. Chama hakiwezi kukabidhiwa kwa majambazi.
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya unasema Rais mwanamke atatawala muhula mmoja tu au wanaweza kumwacha aingie tena lakini wakafanya yao kisha makamu akawa Rais au pia wanaweza kumwekea shinikizo abadili mawazo wamwengue na mchakato uanze upya
 
Back
Top Bottom