GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unajaribu kumponda Samia kupitia uwepo wa Kikwete na Familia yake ndani ya CCM lakini inabidi uwe na ujasiri mkubwa sana kutoyaona mengi sana ya muhimu anayoyafanya Samia na awamu yake.


Hakuna mradi aliyouanzisha JPM halafu Samia auche nusu nusu.

SGR inaelekea kumalizika kimebakia kipande cha kuelekea Mwanza na chenyewe kitakwisha hivi karibuni.

Viwanja vya ndege karibu vyote vinaelekea kumalizika muda huu. Wawekezaji wengi wanakuja awamu ya sita.

Kigoma iliyokuwa imesahaulika muda huu inao umeme na imefikiwa na miradi ya treni.

Mwenye haki ya kuiponda awamu ya sita ni Tundu Lissu, Heche watu ambao hawapo ndani ya CCM hawa wa ndani ya chama ni wachafu sawa na wanaowanyooshea vidole.

Kina January Makamba, Luhaga Mpina na wote wa aina yao baada ya kupigwa chini ubunge wanakuja na mashambulizi kupitia majina bandia humu JF.
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.
Awe makini wasije wakamteka na kumbaka.
 
Mengi yapo na mabaya yanatakiwa kudhibitiwa. Nchi inataka kutekwa na kundi la majambazi. Kikwete and His companions
Vipo vikundi vitatu lipo kundi la marehemu akina magufuli walipo akina Bashiru na wenzao na lipo kundi la kikwete walimo January makamba Nape na wenzao na lipo kundi la mama ambao ni akina Nchimbi wasira mwigulu na wenzao
 
Katika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.

Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.

Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.

Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.

Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.

Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika

Asanteni.
Tatizo WaTanganyika ni wagumu kuelewa na wepesi kusahau
 
We unaona likiwezekana hilo mkuu?
Bila shaka
Tanzania ipo kwenye mchakato wa kuzaliwa upya
2027 Tanzania itakuwa halisi
Ss hv Mungu anaanza kubomoa misingi ya kishetani
Na amesema amesikia vilio vya Watanzania
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Bila shaka
Tanzania ipo kwenye mchakato wa kuzaliwa upya
2027 Tanzania itakuwa halisi
Ss hv Mungu anaanza kubomoa misingi ya kishetani
Na amesema amesikia vilio vya Watanzania
Sawa mkuu.

Kwa hiyo sisi wsnanchi tutulie tu, mambo mazuri yanakuja?
 
Back
Top Bottom