GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

GE2025 Balozi Polepole: Rais Samia anahujumiwa, kazungukwa na Wana Mtandao (Kikwete na Rostam)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama ulimsikiliza vizuri gwajima wakuu zaidi ya watatu wa idara ya usalama wameondolewa katika nafasi zao katika kipindi kifupi sana cha utawala wa Samia unajua maana yake ni nini? Amewekwa mtu wa usalama atakaekubali kwenda na mfumo unavotaka. Gwajima alipotoka ushauri Rais apunguziwe mamlaka ya kuwaondoa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama serikali ya Samia ikavamia kanisa lake Kufunga na kuwakamata waumini .
Wewe unapondaga wakristo iweje leo uwatete hayo mapenzi kwa wakristo yameanza lini
 
Hii hoja siyo ya kijinga huu ni mtego ambao Samia mwenyewe anatakiwa kuujibu. Kuna uwezekano na yeye ni mmoja wao, Kuna uwezekano amezungukwa na watu anaodhani Wana msaada na yeye hapo alipo au Inawezekana anaogopa labda Wana nguvu ya kumuua. Muda siyo mrefu tutapata jibu sahihi mambo yanachemka chini kwa chini. Chama hakiwezi kukabidhiwa kwa majambazi.
Mmmmh !
Ngoja Tusubiri tuone KARMA itafanyaje 😳🙄😳 !
 
Of course Dkt Samia anatumika kama toilet paper after ushindi watamuua iwe kama Dkt Magufuli ilivyofanyika. Anadhani wanaomuambia acha kugombea hawampendi kumbe wanataka awe na maisha marefu ya kulea wajukuu zake. Amcheki another toilet Paper Dkt Magufuli alivyoangamizwa
kwa nadhalia hiyo mnayosema je kama wahuni ndo wanahakikisha ashinde, atauliwa na nani?
 
Mimi Binafsi Carlos The Jackal , Kwa namna ninavyomjua Mzee Wasira .

Mzee ambaye Roho yake imejaa Uchu wa Madaraka.

Pale Bunda Mzee Wasira Enzi za uchaguzi alikua akitenda Matukio ya kikatili sana dhidi ya Washindani wake Ndani ya CCM.

Aliwahi Hadi kumpiga Kipigo mshindani wake

Ni Wassira huyuhuyu aliyekimbizana na Akina Esther Mahakaman kisa Ubunge!.


Mzee huyu Wassira sahizi pale kamchomekea KIJANA wake Ubunge .



ITOSHE KUSEMA, MZEE WASSIRA NI WAZEE WA AJABU SAN NCHI HII, HUWEZI KUMUWEKA BUS MOJA NA AKINA MZEE WARIOBA, MZEE BUTIKU !!.
Ukiangalia lile tumbo lake litakupa majibu kamili..yeye ni Kiongozi Tumbo.
 
Naona HP kaamua kubalance tu, issue sio kuhujumiwa bali nayeye ni sehemu ya project.

Dhamira ikitimia basi wapige marufuku watoto, wake na ndugu wote wa viongozi walioko madarakani mpaka new system itakapoundwa na kuanza operation ili vetting iwe ya uhakika.

ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan
 
Alimuona anataka kumpanda kichwani kama anavyompanda Samia. Magufuli alivoingia alifanya ambayo wanamtandao hawakuyatarajia. Walidhani atakua mwenzao.

We hushangai leo Samia anajitam ulisha kuwa nae ana bossi wake ambaye ni Kikwete hivi nchi hii Kuna boss kumzidi Rais?
Bangi za siasa hizo
 
Kwa hii nadhalia ya uraiani baada ya hao wauaji kujigamba kuwa wazee wakasema inatosha (in Makamba’s voice), Dkt Samia ni kama ilivyokuwa kwa Dkt Magufuli, hawakuwa kwenye plans zao, inawezekana hawa wauaji wa Mzee Ally Kibao wakamuua pia Dkt Samia ili mtu wao awe rais, baada ya hapo watapanga safu nani awe rais na lini. Kumbuka kwa mujibu wa pole pole walianza toka enzi zile za Mkapa, wakajipanga 2005 wakafanikiwa ila cheki walivyogeukana Lowasa kauawa, membe wameuua wao akina sitta etc wengi wengi wengi sana, na hatimaye kundi lipo poa now. Ila kwa ufupi ni kundi hatari sana tena sana. Sijui itakuwaje, tuzidi kuomba Mungu
duh, inabidi nitafute muda kesho nisikilize upya -- network ilinisumbua sana leo.

hivi vitu ni kweli au wanatuingiza tu kwenye mfumo hawa jamaa
 
Ninachokionq hapa Polepole anapiga kelele kuwakilisha sukuma gang ambayo imesukumwa pembeni hivi sasa. Hata Musiba amepatwa na msiba mkubwa, amelalama kweli kweli.

Kusema kuwa Samia amwzungukwa na wanamtandao kunafoa tafsiri kwamba Samia ni mwema Ila wanamtandao ndiyo wabaya. Jambo ambalo si kweli. Kwann Polepole anaonekana kujikomba kwa Samia na kumnanga Kikwete muda wote??
 
Hivi wakati hawa wanamtandao wanajenga himaya yao toka chini system ilikuwa wapi?
Maana kwa namna inavyoonekana na kusemwa inawezekana hata hiyo system yenyewe nayo imeshatekwa na hakuna mwenye uwezo tena wakupiga comeback zaidi ya Mwenyezi Mungu mwenyewe kuingilia kati.

Wahuni chini ya kiongozi wao inaonekana walisukuma kete zao vizuri na bado wanazisukuma vizuri, hata hii game sijui ya JM kukatwa na blah blah nyiiingi ni kete tu wanazisukuma.

Mama anapiga mpaka 2030, Mwigulu anachukua mpaka 2040, huyo JM 2040 anakuja kama VP au PM.. Wahuni wanajua game wanayoicheza.

ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
 
Tafuta bosi. Kila kitu kipo wazi kwenye mitandao. Unajua kosa kubwa na hawa wauaji ni kujisahau hasa aliyeharibu kabisa ni juu ya mipasho ya Dkt Samia, yaani badala ya kuomboleza yeye haikuchukua muda akarejea toka nje ya nchi ziara na bashasha na bonge la tabasamu akisema eti nchi ilikuwa imefungwa sasa inafunguliwa, hivi kwa akili za kawaida, yeye alikuwa makamu wa rais na kuna ile dhana ya collective responsibility, unapotoa kauli kama hiyo inamaana yeye Dkt Sania alihusika kumuua Dkt Magufuli ili nchi aifungue.
Kuna mahesabu yamekosewa na ndio huenda yakawa gharama kwao. One mistake one goal
 
Tafuta bosi. Kila kitu kipo wazi kwenye mitandao. Unajua kosa kubwa na hawa wauaji ni kujisahau hasa aliyeharibu kabisa ni juu ya mipasho ya Dkt Samia, yaani badala ya kuomboleza yeye haikuchukua muda akarejea toka nje ya nchi ziara na bashasha na bonge la tabasamu akisema eti nchi ilikuwa imefungwa sasa inafunguliwa, hivi kwa akili za kawaida, yeye alikuwa makamu wa rais na kuna ile dhana ya collective responsibility, unapotoa kauli kama hiyo inamaana yeye Dkt Sania alihusika kumuua Dkt Magufuli ili nchi aifungue.
chama chao cha ajabu sana
 
Back
Top Bottom