Olodarasero
Senior Member
- Aug 4, 2024
- 122
- 196
Wewe na mm tutakumbushana humu JF urakaokuwa mwisho wa ugomvi huu. mm nakwambia the whole Palestine thing limejengwa kwenye dhana potofu:
1. Hamna state yao pekeyao iliyokuwa Palestine
2. Upalestina huo walijipachika 1964 wakisaidiwa na KGB ya Soviet Union
3. Hiyo Al Aqsa mosque msingi wake ni uongo
4. Dome of the Rock hamna historia yeyote Uislam wala Mohammad; badala yake iliyopo pale ni Historia ya Waisraeli na Mfalme Daudi
5. Vita hii mtashindwa wewe na Nyerere wako na hiyo Hamas, Hezbullah they will be consigned to history. Aidha, huyo Ayatollah wenu wa Iran, ataondoka na Iran kuwa na Serikali isiyo ya Kidini
6. Tunza maneno yangu yakusaidie ktk siku za usoni wakati islam revert back to being a strange thing
View attachment 3100238
Mm nakusaidia Revert hicho Choi cha kiislamist ulichoingia sucho; na siku zinavyoenda ndiyo wanavyozidi kuachwa uchuWewe Babu zako wasingepigania uhuru mpaka Leo ungekuta unatawaliwa na wazungu inaonekana wewe muoga sana.
Umenena vyema na huo ndiyo ukweli. Lakini ni kitu gani kisicho na gharama???Tumeona kwenye historia hao wayahudi ni waliopewa eneo dogo TU ndani ya Palestina kupitia wakubwa zao (wamarekani),. Kisha wao wanazidi kujiongezea maeneo na kukalia ardhi isiyo yao Kwa mabavu. Alafu unasema watu wawaache wafanye watakavyo! Da! Unaweza kutekelekeza familia Yako bro kwenye matatizo. Tatizo mataifa makubwa yanawasapoti Kwa agenda wanazozijua. Mimi sio mfuasi wa vita coz wanaouawa wengi hawana hatia
Niko Bongo lakini hizi simu za mitumba tunazonunua huwezijua zingine zinatoka Lebanon!ππMkuu uko Lebanon?
Israel imekupatia msaada gani mkubwa hadi sasa wewe!??kwa kifupi hao wote wawili walikuwa wanafiki wakubwa sana, na kuna wakati tunaamini ilikuwa bahati mbaya kuongozwa nao. majengo mengi sana UDSM yalijengwa na waisrael, vitu vingi hadi jeshi liliundwana waisrael, ila ili ajipatie sifa, akaungana na magaidi. yule mzee kuna mambo mengi alituingiza chaka na ashukuru Mungu alikufa mapema, angekuwepo sasaivi heshima yake yote angevuliwa.
π€£π€£π€£Niko Bongo lakini hizi simu za mitumba tunazonunua huwezijua zingine zinatoka Lebanon!ππ
Hamna mtu mwenye akili timam anaweza kuunga mkono ugaidi.Enh ni kweli kumbe makundi ya magaidi hayapendwi na waarabu wenzao... raia wengi wanapenda kuishi kwa raha ila magaidi ndio shida na cha kushangaza yana washabiki hadi tz
Sasa kama hadi helcopter ya Rais wa nchi inaweza kutunguliwa halafu bado wanaamini watashinda. Misri aliomba amani, Jordan aliomba amani, UAE aShetani (Iran) mwenyewe kawekewa moto hapa hapa duniani, yeye pamoja na vikaragosi vyake mgambo wa Hezbollah
Nasiralla shetaan nami nimeskia hapoo hahaaaaWenzio hao wa Syria wanasherehekea Pagers. Sikiliza tu utasikia PAGER, Hassan Nasirallah Shetan. Wewe hata undani wa mgogoro huo huujui ati unajifanya nawe ni Free Free Palestine from the Liver to the Thigh
View: https://x.com/NiohBerg/status/1836465690552729710
Nashukuru kwa kufuatilia kwa umakiniπ€ hii miji islamists ya Tanzania mipumbavu sana. Kwanza karibu yote ni misunni. Halafu haijui kuwa Nasrallah na wenzie ni Mashia ambao ni Adui kindaki ndaki na waarabu wa Sunni. Na kila mmoja wao anaamini ni yeye ambaye Quran imetabiri atawaangamiza wayahudi wote na baadae awamalizie wakiristo na hivyo kusimika Calphet ya utawala wa Kiislamu dunia nzima.Nasiralla shetaan nami nimeskia hapoo hahaaaa
Mie nkajua waarabu wote waislam naa wote nidn moja kumbe kuna shia na sun kwahyo sun wanafrahia kifinyo wanachopewa shiaa kwa maana hyo at a wakiachwa waislam pekeyake bado watapgana tuu kwa ushia na u sunNashukuru kwa kufuatilia kwa umakiniπ€ hii miji islamists ya Tanzania mipumbavu sana. Kwanza karibu yote ni misunni. Halafu haijui kuwa Nasrallah na wenzie ni Mashia ambao ni Adui kindaki ndaki na waarabu wa Sunni. Na kila mmoja wao anaamini ni yeye ambaye Quran imetabiri atawaangamiza wayahudi wote na baadae awamalizie wakiristo na hivyo kusimika Calphet ya utawala wa Kiislamu dunia nzima.
Sasa kwa kuwa kila mmoja anajiona kuwa yeye ndiye mteule ndiyo maana wanaugomvi wa kuua mtu. Mungu wa Kweli ndiyo atapitia humo humo kuhakikisha wanachinjana wao kwa wao. Ndiyo huo ugomvi kati ya Saudia na Iran, na kule Pakistani na Nigeria utasikia sunni na shia wamechinjana wakati kule Nigeria ndiyo maana utasikia Boko Haramu wameua pia waislamu
Wewe tumia akili wayahudi wana technology advanced hata zaidi ya hiyo, lakini kwakuwa hawaongozwi na shetan ALLAH hawawezi itumia technology hiyo kuangamiza raia wasio na hatia au hata kwa ugaidi. Waislamu wako ndiyo wenye akili hiyo ya panziHili alichofanya Taifa la mtoa roho, kupandikiza mabomu kwenye simu, pager, na vifaa vingine vya electronic italeta hasara Kwa watengenezaji wa bidhaa zilizotumika na zaidi usumbufu Katika ukaguzi hasa usafiri wa anga, simu zinaweza pigwa marufuku. Ukiwa angani unaweza kuwa comfortable wakati jirani yako ana pager??
Aiseee, sawa.Wewe tumia akili wayahudi wana technology advanced hata zaidi ya hiyo, lakini kwakuwa hawaongozwi na shetan ALLAH hawawezi itumia technology hiyo kuangamiza raia wasio na hatia au hata kwa ugaidi. Waislamu wako ndiyo wenye akili hiyo ya panzi
Muislamu atachukua bunduki ataua muislamu lawama atapewa Mmarekani. Leo wanashangilia Hamas na Hezbollah na sijui kama wanajua kuna Waislamu kibao wasio na hatia wanauwawa kutokana na hayo makundi.Hamna mtu mwenye akili timam anaweza kuunga mkono ugaidi.
Hamas wameharibu Gaza kabisa, Hezbollah wameua uchumi wa Lebanon, Bokoharam wameimaliza Northern Nigeria, Alshabaab wameharibu somalia kabisa, hapakaliki