Balozi wa Iran Lebanon apoteza jicho moja kwenye mlipuko, jicho lingine lajeruhiwa vibaya, apelekwa Iran Kwa matibabu

Balozi wa Iran Lebanon apoteza jicho moja kwenye mlipuko, jicho lingine lajeruhiwa vibaya, apelekwa Iran Kwa matibabu

Wewe na mm tutakumbushana humu JF urakaokuwa mwisho wa ugomvi huu. mm nakwambia the whole Palestine thing limejengwa kwenye dhana potofu:
1. Hamna state yao pekeyao iliyokuwa Palestine
2. Upalestina huo walijipachika 1964 wakisaidiwa na KGB ya Soviet Union
3. Hiyo Al Aqsa mosque msingi wake ni uongo
4. Dome of the Rock hamna historia yeyote Uislam wala Mohammad; badala yake iliyopo pale ni Historia ya Waisraeli na Mfalme Daudi
5. Vita hii mtashindwa wewe na Nyerere wako na hiyo Hamas, Hezbullah they will be consigned to history. Aidha, huyo Ayatollah wenu wa Iran, ataondoka na Iran kuwa na Serikali isiyo ya Kidini
6. Tunza maneno yangu yakusaidie ktk siku za usoni wakati islam revert back to being a strange thing
View attachment 3100238

Wewe Babu zako wasingepigania uhuru mpaka Leo ungekuta unatawaliwa na wazungu inaonekana wewe muoga sana.
Mm nakusaidia Revert hicho Choi cha kiislamist ulichoingia sucho; na siku zinavyoenda ndiyo wanavyozidi kuachwa uchu
 
Tumeona kwenye historia hao wayahudi ni waliopewa eneo dogo TU ndani ya Palestina kupitia wakubwa zao (wamarekani),. Kisha wao wanazidi kujiongezea maeneo na kukalia ardhi isiyo yao Kwa mabavu. Alafu unasema watu wawaache wafanye watakavyo! Da! Unaweza kutekelekeza familia Yako bro kwenye matatizo. Tatizo mataifa makubwa yanawasapoti Kwa agenda wanazozijua. Mimi sio mfuasi wa vita coz wanaouawa wengi hawana hatia
Umenena vyema na huo ndiyo ukweli. Lakini ni kitu gani kisicho na gharama???
Tazama; Mataifa jirani (Waarabu)wanawavamia au kuwachokoza Wayahudi kwa lengo OVU; OVU KABISA la kuwateketeza na kuwamaliza kabisa wafutike kwenye uso wa dunia hii yetu sote wanadamu tuliopewa bure na aliyeiumba.
Kwa hiyo kilichotokea Myahudi akivamiwa anapigana kufa na kupona na anapokuwa ameshinda UOVU uliolengwa kwake anaenda mbele zaidi hadi kumtoa Adui kwenye maeneo jirani i.e. anamfukuzilia mbali na mipaka yake na ndipo anajimilikisha eneo aliloliteka kwani mvamizi aliyefurushwa hawezi kulipa gharama husika. Mchezo huo ndo umeendelea hadi leo. Utashuhudia itakavyokuwa kwa Gaza na kwa Lebanon kusini; - watanyang'anywa maeneo hayo na kuwa ni sehemu ya Israel kwani Palestina (HAMAS) au Lebanon (Hezbollah)hawataweza kulipia gharama stahiki zitokanazo na vita walioianzisha October 7.
 
kwa kifupi hao wote wawili walikuwa wanafiki wakubwa sana, na kuna wakati tunaamini ilikuwa bahati mbaya kuongozwa nao. majengo mengi sana UDSM yalijengwa na waisrael, vitu vingi hadi jeshi liliundwana waisrael, ila ili ajipatie sifa, akaungana na magaidi. yule mzee kuna mambo mengi alituingiza chaka na ashukuru Mungu alikufa mapema, angekuwepo sasaivi heshima yake yote angevuliwa.
Israel imekupatia msaada gani mkubwa hadi sasa wewe!??
Inamaana wewe una akili kuliko Nyerere ambaye anajua diplomasia kuliko wewe!??
Muda mwingine ficha Ufala wako na ukae kimya sio kuropoka kijana.
Utakua unatia aibu bure.
 
Enh ni kweli kumbe makundi ya magaidi hayapendwi na waarabu wenzao... raia wengi wanapenda kuishi kwa raha ila magaidi ndio shida na cha kushangaza yana washabiki hadi tz
Hamna mtu mwenye akili timam anaweza kuunga mkono ugaidi.

Hamas wameharibu Gaza kabisa, Hezbollah wameua uchumi wa Lebanon, Bokoharam wameimaliza Northern Nigeria, Alshabaab wameharibu somalia kabisa, hapakaliki
 
Shetani (Iran) mwenyewe kawekewa moto hapa hapa duniani, yeye pamoja na vikaragosi vyake mgambo wa Hezbollah
Sasa kama hadi helcopter ya Rais wa nchi inaweza kutunguliwa halafu bado wanaamini watashinda. Misri aliomba amani, Jordan aliomba amani, UAE a
waliomba amani na raia wa nchi hizo wana amani zote. Usitake kushindana vita usiyoweza kushinda.
 
Nasiralla shetaan nami nimeskia hapoo hahaaaa
Nashukuru kwa kufuatilia kwa umakiniπŸ€› hii miji islamists ya Tanzania mipumbavu sana. Kwanza karibu yote ni misunni. Halafu haijui kuwa Nasrallah na wenzie ni Mashia ambao ni Adui kindaki ndaki na waarabu wa Sunni. Na kila mmoja wao anaamini ni yeye ambaye Quran imetabiri atawaangamiza wayahudi wote na baadae awamalizie wakiristo na hivyo kusimika Calphet ya utawala wa Kiislamu dunia nzima.
Sasa kwa kuwa kila mmoja anajiona kuwa yeye ndiye mteule ndiyo maana wanaugomvi wa kuua mtu. Mungu wa Kweli ndiyo atapitia humo humo kuhakikisha wanachinjana wao kwa wao. Ndiyo huo ugomvi kati ya Saudia na Iran, na kule Pakistani na Nigeria utasikia sunni na shia wamechinjana wakati kule Nigeria ndiyo maana utasikia Boko Haramu wameua pia waislamu
 
Mie nkajua waarabu wote waislam naa wote nidn moja kumbe kuna shia na sun kwahyo sun wanafrahia kifinyo wanachopewa shiaa kwa maana hyo at a wakiachwa waislam pekeyake bado watapgana tuu kwa ushia na u sun
 
Tena sana wanafanyiana ukatili wa ajabu mno. Hapa Tanzania washukuru Mungu tu kuwa Bakwata ina maelekezo ya serikali kuwa Lazima wawe chombo xha kitaifa kikitambua mashia pia. Na ndiyo maana Maanswari Sunna hiyo ni moja wapo ya sababu ya kuipinga bakwata; wanasema Bakwata huhongwa na mashia. Wawe nenda tu kwenye YouTube search ugomvi wa mashia na Sunni Tanzania.
 
Hili alichofanya Taifa la mtoa roho, kupandikiza mabomu kwenye simu, pager, na vifaa vingine vya electronic italeta hasara Kwa watengenezaji wa bidhaa zilizotumika na zaidi usumbufu Katika ukaguzi hasa usafiri wa anga, simu zinaweza pigwa marufuku. Ukiwa angani unaweza kuwa comfortable wakati jirani yako ana pager??
 
Wewe tumia akili wayahudi wana technology advanced hata zaidi ya hiyo, lakini kwakuwa hawaongozwi na shetan ALLAH hawawezi itumia technology hiyo kuangamiza raia wasio na hatia au hata kwa ugaidi. Waislamu wako ndiyo wenye akili hiyo ya panzi
 
Aiseee, sawa.
 
Hamna mtu mwenye akili timam anaweza kuunga mkono ugaidi.

Hamas wameharibu Gaza kabisa, Hezbollah wameua uchumi wa Lebanon, Bokoharam wameimaliza Northern Nigeria, Alshabaab wameharibu somalia kabisa, hapakaliki
Muislamu atachukua bunduki ataua muislamu lawama atapewa Mmarekani. Leo wanashangilia Hamas na Hezbollah na sijui kama wanajua kuna Waislamu kibao wasio na hatia wanauwawa kutokana na hayo makundi.

Amani ni kitu bora sana kwa wanadamu. Ndio maana raia wa Yemen anaona kuliko niende Saudia wanakozingatia sheria ya dini yangu ni bora nikaishi na makafiri ya Norway.

Amani ni kitu Bora.
 
Back
Top Bottom