Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Magazetini

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
593
Reaction score
1,712
Ambassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

2020/11/4
I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during the recent election process in this country.

I am convinced that sound democracy based upon multiparty system works best to contribute to further development and prosperity of Tanzania.

GOTO Shinichi, Ambassador of Japan to Tanzania.

======

Ninashangazwa na habari za hitilafu na ubadhilifu zilizoshuhudiwa kwa wingi nchini humu katika mchakato wa uchaguzi wa hivi karibuni.

Nina uhakika demokrasia ya kweli chini ya mfumo wa vyama vingi itachangia zaidi maendeleo na ustawi wa Tanzania.

GOTO Shinichi, Balozi wa Japani nchini Tanzania.
 
Demokrasia ni nini? Na Je, demokrasia ina guarantee Maendeleo ya nchi?

Mwambieni balozi rais kasema uchaguzi umeisha!
Ni kweli demokrasia ina gurantee maendeleo. Kijiji X wamegoma kushiriki kichimba Mtaro kwa hiari kisa mwenyekiti hawakumchagua wao katka Uchaguzi mdogo, hivyo anachimba yeye na mtendaji, usipuuze hiyo kauli.
 
Ni kweli demokrasia ina gurantee maendeleo..kijiji X wamegoma kushiriki kichimba mtaro kwa hiari kisa mwenyekiti hawakumchgua wao katka uchaguzi mdogo..hivyo anachimba yeye na mtendaji..usipuuze hio kauli
Na maji yasipopita kwenye mtaro. Anayelia kiu au mkewe kwenda saa kumi usiku kufuata maji anakuwa mwenyekiti!?
 
Ndio maana nilikua namtolea mfano democracy inavorudisha maendeleo nyuma kama isipotumika. Huezi shirikiana na mtu ambae haziungi
 
Kwisha hakika umeisha hata balozi habishi hilo mkuu ila umeishaje ndio next step ambayo balozi yupo sasa hivi.
Haturudi nyuma, hatuna muda wa kuchezea.

Balozi afanye kazi yake, mambo yetu ya ndani hayamhusu, na kama amekwazika afunge virago.
 
ndio maana nilikua namtolea mfano democracy inavorudisha maendeleo nyuma kama isipotumika..huezi shirikiana na mtu ambae haziungi
Marekani wao popular vote haimpi Urais mtu. Ellectoral College (hawa ni watu objective) as checks measures to balance mihemko. Hao ndio wanakuambia wewe uende na popular vote kumpata Rais.

Na makemeo lukuki 🙂 we have a long way to go.

Nimekuelewa Chief
 
Hawa mabalozi wote wanafiki na waoga tu. Kila mtu anajificha nyuma ya kivuli cha “nimesikia taarifa za so and so”.

Hawa hata wakiitwa kufafanua kauli zao wataishia kudai kwamba “wao kama wao hawasemi kama uchaguzi ulivurugwa ila tu wamesikia kutoka kwa third party”
 
Back
Top Bottom