Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Hao ndo walitoa hela ya ujenzi wa flyover ya TAZARA na wanatujengea barabara ya Morocco-Mwenge, halafu Ujiko analamba Jiwe as if katoa hela yeye mfukoni.
"Elections are the quintessential arbiter of political contestation within democratic countries. This is a path Tanzania has followed for the past 25 years, since it first held its first multiparty elections in 1995.

But elections are only part of the institutional fabric of a democracy. And a democracy is only as good as its institution—collectively" annandika jamaa flani.

Chaguzi za "KIFEDHULI" hazipaswi kukubalika karne hii. Mafedhuli wanakubalika na kina nani? Nazani ni WAJINGA WALOKUBUHU kwao watokako tu. Wenye akili timamu hawawezi kamwe. Case study: TRUMPIANS
 
Mabalozi watulie,wataitwa Ikulu wayamalize Nchi hii bado inajengwa,tunahitaji zaidi ushirikiwao katika ujenzi wa Taifa letu.
 
Mwambie Mh Balozi, Uchaguzi umeshakwisha yeye aendelee kushangaa.
 
Sasa kama yeye hajaona hayo matukio kwanini asishangazwe na habari za uzushi.

Imeisha hiyo. Acha kazi iendelee.

MAGUFULI4LIFE.
 
Naomba nitoe lineage ya Ufalme kwa kule Japan wanaita Emperor.Ufalme wa kijapan umeanza miaka mingi na ni wazamani katika dunia nzima kuongozwa na familia moja.

Mfalme wa kwanza aliitwa Jimmu alitawala miaka ya 11th feb 660BC yaani kabla ya YESU hajazaliwa.Turuke siwezi kutaja majina ya wafalme waliofuatia wote nitataja wa hivi karibuni.

Hirohito 1926-1989
Akihito 1989-2019
Naruhito 2019-aliyeko madarakani hadi sasa

Huyu aliyeko madarakani hadi sasa amepokea kutoka kwa baba yake Akihito na ni mfalme wa 126 kuanzia Jimmu kule juu.Baba yake aliamua kumkabidhi mwanae rungu baada ya kuona afya yake Inadorora na inasemekana ni mfalme pekee aliyekabidhi madaraka kwa ridhaa yake mwenyewe kwa miaka mia mbili iliyopita tukio kama hilo ndio lilitokea.

Sasa nisiwachoshe nia yangu hapa ni kumuonyesha balozi kuwa kama anatuchungulia akachungulie kwao Japan kwanza how come wanakabidhiana madaraka kwa familia moja Mfano babu yake Naruhito huyu kiongozi wa sasa yaani Hirohito alikaa madarakani miaka 63 ndio akamkabidhi mwanae Akihito mwaka 1989 ambaye ndo baba wa huyu Naruhito wa sasa.

Sisi tuna utaratibu wetu kwa kutumia kura najua watu watasema nchi ya kifalme haina uchaguzi sawa mwenye uchaguzi ni waziri mkuu basi kama ni hivyo basi wasitufundishe sisi demokrasia.

Wakamhoji Malkia Elizabeth kwanza na Naruhito watuanchie ya kwetu na sisi ndio utaratibu wetu watuachie tumechagua wenyewe kwa kupenda.
 
Yaani ukiona hadi Japan wanaongea jua wameiba kwelikweli. Japan hua ni wakimya sana hadi wameshindwa kuvumilia. Ila cha kushangaza watanzania bado wanavumilia, watu tumetoka kwenda kuandamana tukajikuta wenyewe. Hehehe kweli wabongo siwezi wasahau.
 
Demokrasia ni nini? Na Je, demokrasia ina guarantee Maendeleo ya nchi?

Mwambieni balozi rais kasema uchaguzi umeisha!
Kwani uchaguzi ukiisha na taarifa zinachomwa moto na kuacha kabisa kuongelewa?
 
Hivi japani na nyinyi mna vyama vingi kweli?
Tatizo watanzania hamsomi mumekalia futuhi tu na umbeya umbeya mwingi. Ndio nyie mnaosema Marekani kuna vyama viwili tu vya kisiasa. Very pathetic.
 
Kwani uchaguzi ukiisha na taarifa zinachomwa moto na kuacha kabisa kuongelewa?
Uchaguzi umeisha! Uchaguzi umeisha!! Uchaguzi umeisha!

- Rais John Pombe Joseph Magufuli
 
Chaguzi za kihuni kama hizi ndio inafanya maeneo mengi duniani waafrika waonekane kama nyani tu.
 
Back
Top Bottom