Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Watajijuaa 😂😂Uzuri wavijijini ndo wataumia maana hawatapata maji safi na salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajijuaa 😂😂Uzuri wavijijini ndo wataumia maana hawatapata maji safi na salama
Sio wote waliohudhuria kuapishwa kwa Rais ni marafiki wema. Wengine ni haters. Ukae ukijua hata rafiki zako wewe mwenyewe ulionao wengine ni haters.Ndo maana nawambia tulieni ,msipige kelele.
Msione Baloz aa US kahudhuria pale ,mkadhan falaaa...
Japan wana MfalmeHivi Japan na nyinyi mna vyama vingi kweli?
Unaaibisha kizazi, Carlos the jackal hakuwaga boya hiviNdo maana nawambia tulieni ,msipige kelele.
Msione Baloz aa US kahudhuria pale ,mkadhan falaaa...
Kwani wewe kuandamana mpaka uwe na wengine? Kama hawakuja kuandamana jua hawakuungi mkono na wanaunga mkono serikali hii. Pia juwa hao ndiyo waliyompigia kura Magufuli kura, kwani wao wajinga wampigie kura kisha waandamane kumpinga. Ni wenda waxzimu tu watafanya hivyo.Yaani ukiona hadi Japan wanaongea jua wameiba kwelikweli. Japan hua ni wakimya sana hadi wameshindwa kuvumilia. Ila cha kushangaza watanzania bado wanavumilia, watu tumetoka kwenda kuandamana tukajikuta wenyewe. Hehehe kweli wabongo siwezi wasahau
Sasa Nani anastahili kushinda uraiai na Nani anastahiri kuehindwa!Hakuna kitu kinachoitwa democracy hapa duniani, hiyo tumedanganywa na kuaminishwa na wazungu.
Nenda kafanye uchunguzi wako kwa kina.
Mm ninaamini umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.
Mfumo wa vyama vingi tumeletewa na wakoloni ili tugombane na kuuana cc kwa cc ili wao waje nchini kumiliki rasilimali zetu.
“nimesikia taarifa za so and so”.
😂😂😂😂😂macho nusuDah kweli hawa jamaa wanataka kutuzoea. Hadi Japan wanatupiga mkwara na macho yao nusu.
Sisi uchaguzi wetu ulikuwa na sintofaham, wao mfalme wao anachaguliwa kwa kura za wananchi gani?
Na wewe unasemaje? ..au unadhani Rais anakusemea wewe badala ya maslahi yake?Rais kasema Uchaguzi umeisha
Lisemwalo lipo.
Mmoja mmoja na hatimaye watatoa jibu kwa umoja.
NOTE:
Ukilalamikiwa na jirani zako ipo siku watakusanyika pasi kujua na kujadili ili wakufunze.
Imeishaaaaa hiooooooooUchaguzi umekwisha sasa tunajenga Nchi yetu hebu Balozi sasa zungumzia wa USA huu wetu achana nao umekwisha na Rais kaapa tayari.
Anaestahili kushinda Urais ni yule kiongozi makini, anaelinda rasilimali zetu na yule anayewabana wafadhili wanaoikandamiza nchi na kuiba madini yetu, na yule asiyeburuzwa na mabeberu na makaburu.Sasa Nani anastahili kushinda uraiai na Nani anastahiri kuehindwa!