Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Ndo maana nawambia tulieni ,msipige kelele.


Msione Baloz aa US kahudhuria pale ,mkadhan falaaa...
Sio wote waliohudhuria kuapishwa kwa Rais ni marafiki wema. Wengine ni haters. Ukae ukijua hata rafiki zako wewe mwenyewe ulionao wengine ni haters.
 
Chadema uchaguzi umeisha tuijenge nchi sasa hivi.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge nchi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Dah kweli hawa jamaa wanataka kutuzoea. Hadi Japan wanatupiga mkwara na macho yao nusu.

Sisi uchaguzi wetu ulikuwa na sintofaham, wao mfalme wao anachaguliwa kwa kura za wananchi gani?
 
Yaani ukiona hadi Japan wanaongea jua wameiba kwelikweli. Japan hua ni wakimya sana hadi wameshindwa kuvumilia. Ila cha kushangaza watanzania bado wanavumilia, watu tumetoka kwenda kuandamana tukajikuta wenyewe. Hehehe kweli wabongo siwezi wasahau
Kwani wewe kuandamana mpaka uwe na wengine? Kama hawakuja kuandamana jua hawakuungi mkono na wanaunga mkono serikali hii. Pia juwa hao ndiyo waliyompigia kura Magufuli kura, kwani wao wajinga wampigie kura kisha waandamane kumpinga. Ni wenda waxzimu tu watafanya hivyo.
 
Hakuna kitu kinachoitwa democracy hapa duniani, hiyo tumedanganywa na kuaminishwa na wazungu.
Nenda kafanye uchunguzi wako kwa kina.
Mm ninaamini umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.
Mfumo wa vyama vingi tumeletewa na wakoloni ili tugombane na kuuana cc kwa cc ili wao waje nchini kumiliki rasilimali zetu.
Sasa Nani anastahili kushinda uraiai na Nani anastahiri kuehindwa!
 
Dah kweli hawa jamaa wanataka kutuzoea. Hadi Japan wanatupiga mkwara na macho yao nusu.
Sisi uchaguzi wetu ulikuwa na sintofaham, wao mfalme wao anachaguliwa kwa kura za wananchi gani?
😂😂😂😂😂macho nusu
 
Kuandika comment inayokuacha uchi Bora ukae kimya. Japan ina mfumo imara wa demokrasia ya vyama vingi na uadilifu wa Hali ya juu sana. Mfalme ni mkuu wa nchi Tu Serikali ya Japan huongozwa na Waziri Mkuu anayechaguliwa kupitia kura za chama chake (PR electoral system). Kwako@BUSH BIN LADEN
 
Uchaguzi umekwisha sasa tunajenga Nchi yetu hebu Balozi sasa zungumzia wa USA huu wetu achana nao umekwisha na Rais kaapa tayari.
Imeishaaaaa hioooooooo

Mwendooooo wa JOE JOE JOE JOE WATU WAMEENDA MAHAKAMAN USIKUHUU ACHAKABISA
 
Balozi mmoja alipigapiga kelele na mwisho wa siku akahudhuria sherehe za kuapishwa
 
Sasa Nani anastahili kushinda uraiai na Nani anastahiri kuehindwa!
Anaestahili kushinda Urais ni yule kiongozi makini, anaelinda rasilimali zetu na yule anayewabana wafadhili wanaoikandamiza nchi na kuiba madini yetu, na yule asiyeburuzwa na mabeberu na makaburu.

Anayefaa kushindwa Uchaguzi wa Rais ni yule kiongozi mwenye uhusiano wa karibu na wakoloni, anayetumiwa na wakoloni kwa kutetea maslahi ya wakoloni ili wamiliki rasilimali za nchi yetu.
 
Back
Top Bottom