mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
CCM muombeni huyu mzee msamaha kabla HAJATOKA DUNIANI. Simuombei mabaya Ila moyo wake umebeba Mambo mazito sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi umekwisha sasa tunajenga Nchi yetu hebu Balozi sasa zungumzia wa USA huu wetu achana nao umekwisha na Rais kaapa tayari.
Sasa panda madege ya Magufuli yamepark hapo Dar miaka kwa kukosa wapandaji kumbe upo unatumia ndege za mabeberu kwenda kwa mabeberu. Madege yapo wasafiri hawapo wanabana matumizi kwa kuwa hawajui lughà!Nawashukuru walinipandisha ndege kwa mara ya kwanza kupiga kozi ughaibuni
Demokrasia ni nini? Na Je, demokrasia ina guarantee Maendeleo ya nchi?
Mwambieni Balozi Rais kasema Uchaguzi umeisha!
Ooh Japan jirani tenaMmoja mmoja na hatimaye watatoa jibu kwa umoja.
NOTE:
Ukilalamikiwa na jirani zako ipo siku watakusanyika pasi kujua na kujadili ili wakufunze.
Weka maneno yake, usimlishe manenoAmbassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020...
Kwahiyo..... hiyo kwaio ya ngumbaru.Kwaio?
Safi sana mkuu, mi mwenyewe nina historia nao kiaina.Nawashukuru walinipandisha ndege kwa mara ya kwanza kupiga kozi ughaibuni
🤣Zile ahadi hewa walizopewa wataishia zisikia tu kwenye marudio
Umeeleza fresh sanaNaomba nitoe lineage ya Ufalme kwa kule Japan wanaita Emperor.Ufalme wa kijapan umeanza miaka mingi na ni wazamani katika dunia nzima kuongozwa na familia moja.
Ujinga unaosemwa hapa ilikuwa usemwe na Balozi wetu mtalii kule Japan ambaye anaishi nao na kuyaona yote yanayotendeka nchini humo kama Balozi wa Japan nchini anavyoishi na Watanzania na kuadhirika na yote yanayotendeka.Naomba nitoe lineage ya Ufalme kwa kule Japan wanaita Emperor.Ufalme wa kijapan umeanza miaka mingi na ni wazamani katika dunia nzima kuongozwa na familia moja..
Uzuri wavijijini ndo wataumia maana hawatapata maji safi na salama[emoji1787]
Mwiteni naye ni beberu...Kwaio?
Swali la msingi.Hivi Japan na nyinyi mna vyama vingi kweli?
Hakuna kitu kinachoitwa democracy hapa duniani, hiyo tumedanganywa na kuaminishwa na wazungu.Kwani democracy kwa CCM maana yake ni wizi na mauaji?
Baada ya kushiba ugali na maharage unasumbua sumbua humu eti, unasahau ukiumwa hata malaria tu pale Sinza hospitali unakutana na jengo lililojengwa kwa msaada wa Japan/Korea, Magari ya wagonjwa USAID/UKAID, Ukienda Mwenge unakutana na Wajapan Wakijenga Barabara kwa hela yao(Msaada).Haturudi nyuma, hatuna muda wa kuchezea.
Balozi afanye kazi yake, mambo yetu ya ndani hayamhusu, na kama amekwazika afunge virago.
Mjapan hawezi kufanya kazi ya bure wewe. Fanya utafiti. Hakuna mchina, mjapani, muingereza, mdachi au mmarekani anayetoa msaada bila kupata faida yoyote au yeye kunufaika.Baada ya kushiba ugali na maharage unasumbua sumbua humu eti, unasahau ukiumwa hata malaria tu pale sinza hospitali unakutana na jengo lililojengwa kwa msaada wa Japan/Korea, Magari ya wagonjwa USAID/UKAID, Ukienda Mwenge unakutana na Wajapan Wakijenga Barabara kwa hela yao(Msaada). Hicho kiburi kinaishia sebuleni kwako tu. Na ndivyo ilivyo kwa mafisiem wote waliojichagua kwa kura feki, kiburi chao kinaishia sebuleni tu. Jamaa wanaanza kupiga spana huko nje, Mtanyooka tu