Uchaguzi 2020 Balozi wa Japan ashangazwa na ubadhilifu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Demokrasia ni nini? Na Je, demokrasia ina guarantee Maendeleo ya nchi?

Mwambieni Balozi Rais kasema Uchaguzi umeisha!
Sure, demokrasia ina guarantee maendeleo ya nchi. Jiulize ni nchi gani ambayo haina democrasia imeendelea?
 
Akafie mbele huyo barozi, Tanzania ni nchi huru!
 
Demokrasia ni nini? Na Je, demokrasia ina guarantee Maendeleo ya nchi?

Mwambieni Balozi Rais kasema Uchaguzi umeisha!

Hii ni sawa na MTU ambake mama D kisha atambe mama D tayari ana mimba hivyo mambo yameisha hakuna haja ya kuyajadili tuendelee na shughuli zingine.
Jee mama D ukibakwa utanyamaza kwa vile mimba tayari?
 
Nafikiri tafsiri sahihi ya I am troubled ilitakiwa kuwa "Nimesikitishishwa" na Siyo "Nimeshangazwa"
 
Hii ni sawa na MTU ambake mama D kisha atambe mama D tayari ana mimba hivyo mambo yameisha hakuna haja ya kuyajadili tuendelee na shughuli zingine.
Jee mama D ukibakwa utanyamaza kwa vile mimba tayari?

😂😂😂 Chakaza buana.

Ukiona mbakwaji kanyamazia kibako na ameendelea kufurahia mimba yake ujue huo haikua ubakaji kwake.

Tena unaweza kuta alifurahia sana tuuu
 
Nakushukuru sana kwa maelezo yako.
Naomba usichoke kuchangia hoja kwa kutumia mifano hai kama hii.
Jamani, tusichoke kuwaamsha na kuwaelewesha hawa watanzania wenzetu wanaorubuniwa na itikadi na mifumo ya watu wa magharibi.
Chesi20 ahsante kwa kuniunga mkono
Tatizo humu JF member wengi ni watu wa 90s hawajui nchi na hawajui historia za mataifa mengine kivitendo yaani kuziishi namanisha unaweza kujua historia ya kitu kwa kusoma lakini mwingine anajua kwa kuiishi yaani umeona kwa macho.Japo kizazi hichi cha 90s nao wana haki kutoa mawazo yao.
Yuko mmoja kani challenge kasema tofautisha udikteta na ufalme.Watu wengi wanafikiri udikteta ni kuua tu kama tulivyoaminishwa kipindi kile cha vita vya Kagera kwa Idi Amini.Dikteta kwa Kiswahili ni Imla inatokana na neno dictatation.Ni sawa na mtu anasoma wewe unaandika kila anachosema yeye kumbuka darasa la kwanza.
Ufalme pia ni udikteta kwa maana hiyo mnakaririshwa kuwa familia flani lazima ndio wana haki ya kuwa viongozi wenu familia zingine hazifai.How come mtu anayetoka nchi ya kifalme akaja kukufundisha wewe demokrasia ya uchaguzi.
Najua wengine watasema mfalme au malkia sio msemaji wa serikali hiyo sio kweli vita au maamuzi magumu yakitokea mfalme au malkia lazima naye anatoa maamuzi yake japo mambo ya kisiasa anamuachia waziri mkuu.
Nchi zote zilizotawaliwa na Muingereza ziko chini ya commonwealth na mkuu wake ni Malkia Elizabeth? hiyo sio siasa? na Tanzania ni mwanachama.
Mabomu ya Atomic yalipopigwa Hiroshima na Nagasaki wakati huo mfalme wa Japan alikuwa anaitwa Akihito babu wa huyu Naruhito wa sasa alichukua madaraka mwaka1926 hadi 1989 kwa miaka 63.Baada ya bomu akawa hana jinsi akatoka kwenye ikulu ya kifalme kwenda kupiga magoti kwa Marekani kuji surrender je hiyo sio siasa? kwa nini asiende waziri mkuu?.
 
Naomba ukae ukijua hao unaowaita wadau wa maendeleo wanatoa misaada bure. Hao sio baba zako wazazi wala sio wajomba zako. Hivyo basi hao wadau wa maendeleo hawawezi kukupa msaada bure. Hicho kitu hakipo kwenye huu uso wa dunia tunayoishi.
You are quite right tell them.No free lunch in this world tell them
 
Tunasubiri kilimo Cha bange kihalaliashwe. Hii ya kulimia ndani ( green house) madogo wanavuta kimya kimya.
 
Yametokea nini? Naona umejiunga juzi Jumapili hapa jukwaani umekuja na moto kama umefunga turbo.
Punguza mzuka ndugu, kuingia jumapili hakunizuii kukupa wewe dozi unayoistaili, ili upone. Tulia sindano ikuingie. Tuko hapa kuelimishana.
Kama ungekua unafuatilia uchaguzi wa USA ungejua yaliyotokea ndio ukanijibu kama ile pia ilikua show ya ujinga wa mtu mweusi. Kumbe hata hujui!!! Nitakufahamisha usijali.
Kwa niongeza tu, naomba nikukumbushe kuwa usikashifu ngozi ya mtu mweusi.
Ngozi hii ni ya kipekee sana, haitengenezwi wala kununuliwa dukani.
 
Ndiomaana nimeuliza hivi, kati ya mfalme na waziri mkuu ni nani mwenye maadaraka yenye nguvu zaidi??
Kwa mtazamo wangu, hakuna tofauti kati ya utawala kifalme na utawala wa kiditekta. Ila haimaanishi kuwa utawala wa kiditekta kazi yake ni kuua watu.
Usijali mtanzania mwenzangu, tuko pamoja na tusichoke kuwaelimisha wenzetu.
 
Natamani ningekupeleka USA au Europe uishi huko miaka mi5 tu ili upate kujifunza kwa hawa wazungu.
Hakuna kitu kinachoitwa msaada kama nilivyokueleza awali, usichanganye mafaili hapa. Narudia tena hakuna kitu cha bure.
 
Sasa mbona ameiba kura wakati wananchi wamemkaraa kwa kupitia Kura Kama kweli analindwa rasilimali.
Aliyekataliwa na wananchi kwa kupitia kura ni nani??
Kama unamaanisha rais Magufuli ndio ameiba kura na kukataliwa na wananchi basi jibu langu ni hili.
Magufuli hajashinda uchaguzi mkuu 100%, ameshinda kwa 84%. Sasa basi hii inaonyesha kuwa wapo ambao hawakumchagua .
 
Uchaguzi umekwisha sasa tunajenga Nchi yetu hebu Balozi sasa zungumzia wa USA huu wetu achana nao umekwisha na Rais kaapa tayari.
Kama mambo kule yangeenda kama hapa, nchi nyingi za dunia zingepinga. Hata pale kuna wakubwa wanaojaribu kudanganya kuficha kura na kadhalika.
Si tabia ya Kiafrika, Kitanzania au Kimarekani, ni tabia ya kibinadamu.
Ila pale kuna mchakato hadi sasa, watu wanaweza kwenda mahakamani, kupeleka malalamiko, karatasi za kura zinaangaliwa upya na kuhesabiwa tena. Kila mtu ni huru kutamka anachofikiri, hawapigi watu kwa kusema; watu wanaweza kuandamana (wasipovunja mali), hakuna anayetupwa jela kwa kujadili maandamano.

Kwa hiyo mkuu, je ulitaka kusema nini ukilinganisha kura za TZ na pale?
 
Balozi mwenyewe jina lake Snichi !! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Imekwisha hiyo balozi muhoji Triump kwa nini analia au imemwagika ?
 
Yaani hadi akina Nakachoi Kazamoke na wenyewe wameongea?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…