Iwensanto
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,228
- 1,157
Kwani hii kwiooo ina maanisha nn
Balozi kwioooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balozi kwioooooo
Sure, demokrasia ina guarantee maendeleo ya nchi. Jiulize ni nchi gani ambayo haina democrasia imeendelea?Demokrasia ni nini? Na Je, demokrasia ina guarantee Maendeleo ya nchi?
Mwambieni Balozi Rais kasema Uchaguzi umeisha!
Akafie mbele huyo barozi, Tanzania ni nchi huru!Ambassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
2020/11/4
I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during the recent election process in this country.
I am convinced that sound democracy based upon multiparty system works best to contribute to further development and prosperity of Tanzania.
GOTO Shinichi, Ambassador of Japan to Tanzania
======
Ninashangazwa na habari za hitilafu na ubadhilifu zilizoshuhudiwa kwa wingi nchini humu katika mchakato wa uchaguzi wa hivi karibuni.
Nina uhakika demokrasia ya kweli chini ya mfumo wa vyama vingi itachangia zaidi maendeleo na ustawi wa Tanzania.
GOTO Shinichi, Balozi wa Japani nchini Tanzania.
Demokrasia ni nini? Na Je, demokrasia ina guarantee Maendeleo ya nchi?
Mwambieni Balozi Rais kasema Uchaguzi umeisha!
Nafikiri tafsiri sahihi ya I am troubled ilitakiwa kuwa "Nimesikitishishwa" na Siyo "Nimeshangazwa"Ambassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
2020/11/4
I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during the recent election process in this country.
I am convinced that sound democracy based upon multiparty system works best to contribute to further development and prosperity of Tanzania.
GOTO Shinichi, Ambassador of Japan to Tanzania
======
Ninashangazwa na habari za hitilafu na ubadhilifu zilizoshuhudiwa kwa wingi nchini humu katika mchakato wa uchaguzi wa hivi karibuni.
Nina uhakika demokrasia ya kweli chini ya mfumo wa vyama vingi itachangia zaidi maendeleo na ustawi wa Tanzania.
GOTO Shinichi, Balozi wa Japani nchini Tanzania.
Hii ni sawa na MTU ambake mama D kisha atambe mama D tayari ana mimba hivyo mambo yameisha hakuna haja ya kuyajadili tuendelee na shughuli zingine.
Jee mama D ukibakwa utanyamaza kwa vile mimba tayari?
Chesi20 ahsante kwa kuniunga mkonoNakushukuru sana kwa maelezo yako.
Naomba usichoke kuchangia hoja kwa kutumia mifano hai kama hii.
Jamani, tusichoke kuwaamsha na kuwaelewesha hawa watanzania wenzetu wanaorubuniwa na itikadi na mifumo ya watu wa magharibi.
You are quite right tell them.No free lunch in this world tell themNaomba ukae ukijua hao unaowaita wadau wa maendeleo wanatoa misaada bure. Hao sio baba zako wazazi wala sio wajomba zako. Hivyo basi hao wadau wa maendeleo hawawezi kukupa msaada bure. Hicho kitu hakipo kwenye huu uso wa dunia tunayoishi.
Punguza mzuka ndugu, kuingia jumapili hakunizuii kukupa wewe dozi unayoistaili, ili upone. Tulia sindano ikuingie. Tuko hapa kuelimishana.Yametokea nini? Naona umejiunga juzi Jumapili hapa jukwaani umekuja na moto kama umefunga turbo.
Ndiomaana nimeuliza hivi, kati ya mfalme na waziri mkuu ni nani mwenye maadaraka yenye nguvu zaidi??Chesi20 ahsante kwa kuniunga mkono
Tatizo humu JF member wengi ni watu wa 90s hawajui nchi na hawajui historia za mataifa mengine kivitendo yaani kuziishi namanisha unaweza kujua historia ya kitu kwa kusoma lakini mwingine anajua kwa kuiishi yaani umeona kwa macho.Japo kizazi hichi cha 90s nao wana haki kutoa mawazo yao.
Yuko mmoja kani challenge kasema tofautisha udikteta na ufalme.Watu wengi wanafikiri udikteta ni kuua tu kama tulivyoaminishwa kipindi kile cha vita vya Kagera kwa Idi Amini.Dikteta kwa Kiswahili ni Imla inatokana na neno dictatation.Ni sawa na mtu anasoma wewe unaandika kila anachosema yeye kumbuka darasa la kwanza.
Ufalme pia ni udikteta kwa maana hiyo mnakaririshwa kuwa familia flani lazima ndio wana haki ya kuwa viongozi wenu familia zingine hazifai.How come mtu anayetoka nchi ya kifalme akaja kukufundisha wewe demokrasia ya uchaguzi.
Najua wengine watasema mfalme au malkia sio msemaji wa serikali hiyo sio kweli vita au maamuzi magumu yakitokea mfalme au malkia lazima naye anatoa maamuzi yake japo mambo ya kisiasa anamuachia waziri mkuu.
Nchi zote zilizotawaliwa na Muingereza ziko chini ya commonwealth na mkuu wake ni Malkia Elizabeth? hiyo sio siasa? na Tanzania ni mwanachama.
Mabomu ya Atomic yalipopigwa Hiroshima na Nagasaki wakati huo mfalme wa Japan alikuwa anaitwa Akihito babu wa huyu Naruhito wa sasa alichukua madaraka mwaka1926 hadi 1989 kwa miaka 63.Baada ya bomu akawa hana jinsi akatoka kwenye ikulu ya kifalme kwenda kupiga magoti kwa Marekani kuji surrender je hiyo sio siasa? kwa nini asiende waziri mkuu?.
Natamani ningekupeleka USA au Europe uishi huko miaka mi5 tu ili upate kujifunza kwa hawa wazungu.Sizungumzii nyumbani kwangu ninazungumzia nchi, lugha uliyotumia si ya hoja hii kwani misaada haiamriwi na mtu mmoja. Nchi duni za dunia ya tatu zinakabiliwa na ufisadi uliokithiri na mipango ya mtu mmoja na ni sababu kubwa ya kutegemea mikopo na misaada.
Aliyekataliwa na wananchi kwa kupitia kura ni nani??Sasa mbona ameiba kura wakati wananchi wamemkaraa kwa kupitia Kura Kama kweli analindwa rasilimali.
Kama mambo kule yangeenda kama hapa, nchi nyingi za dunia zingepinga. Hata pale kuna wakubwa wanaojaribu kudanganya kuficha kura na kadhalika.Uchaguzi umekwisha sasa tunajenga Nchi yetu hebu Balozi sasa zungumzia wa USA huu wetu achana nao umekwisha na Rais kaapa tayari.
Watuache na Rais wetuUchaguzi umekwisha sasa tunajenga Nchi yetu hebu Balozi sasa zungumzia wa USA huu wetu achana nao umekwisha na Rais kaapa tayari.
HahahaaImekwisha hiyo balozi muhoji Triump kwa nini analia au imemwagika ?