Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

Mojinga wee[emoji51]
Mnaongea mkishabikia ujinga elimu ata ndio hio huna,Kama ubaya na uzuri wa Gaddaffi hujui na uko hapa ukijiona mwerevu pamoja na huyo mwenzako,
Jinga mbili[emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
akili za kito..[emoji51][emoji23][emoji51][emoji23][emoji51][emoji23][emoji51][emoji23]

Wwe mzima enda uko Mali ukapelekee jeshi ya Russia kitimoto basi,na uwakaribishe Tanzania[emoji90]ni mandugu kwelikweli[emoji108]
Khaaaiii Umewahi kusimia cold war iliotokeanga Kati ya USA na USSR?
 
Gaddafi alikuwa ni anti marekani .......hizo sifa zote Mbaya utapewa ukiwa against US interests

That's y umesema. URUSI wanaabudu shetani[emoji23][emoji23][emoji23]. Hi misemo ilitumika zaman na wazungu kuwa wacommunist ni mashetan
Ni waabudu mashetani hao😬kweli kabisa,hiyo ata ukatae!!!
We umeona wapi Jeshi linabatizwa ndio ukubalike!!!na hawabatizi na Bibilia ama Qurani!!
Hao wanajulikana tangu jadi!!

Naye Gaddafi ni dictator na terrorist! Ata nchi yake Libya haijai msamehea!
Alitaka kugawanisha Nigeria mara mbili,(Muslim North Christian South),
Alipochukua Uongozi libya kwa mabavu,aliwaua opposition wote.
Aliwatumania Walibya wote waliyokuwa wametorokea nchi zengine wauawe.
Alikuwa anasaidia waasi magaidi,kwa nchi zengine ambazo hazikuwa zimejiweza.
Kwenye Benki ya South Afrika kuna pesa nyingi aliwekeza,ambazo aliiba Libya,mnyanyasaji wa raia kabisa!!!
 
hio russia unasema haijawai kukoloni ndio sasa inataka kukoloni dunia!
Na Afrika itakuwa kupitia tu!tukicheza
Bora hao watatuletea viongozi wazalendo maana uzalendo ulianzia kwenye hizo nchi watu kama nyerere na magufuli ni matunda ya uzalendo ndiyo maana mabepari walikuwa awawapendi
 
Wakenya ondoeni njaa Kwanza Putin kasema[emoji23][emoji23][emoji23]
 
akili za kito..[emoji51][emoji23][emoji51][emoji23][emoji51][emoji23][emoji51][emoji23]

Wwe mzima enda uko Mali ukapelekee jeshi ya Russia kitimoto basi,na uwakaribishe Tanzania[emoji90]ni mandugu kwelikweli[emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu ikiwa kenya ametoa maoni yake na kubezwa. Je nchi za afrika zina nafasi gani katika kutoa maoni yake.

Acha tuone wakubwa wkilumbana uko
 
Kwa vyovyote vile, Putin na Urusi yake wapo pabaya, ikumbukwe Ukraine ina wanajeshi zaidi ya milioni moja na raia wake wengi wapo tayari kufa kizalendo, ni vigumu sana kuivamia nchi kama hiyo, na wakiamua kulipuana, umwagikaji wa damu utakaoshuhudiwa utaisababishia Urusi hasara kubwa sana hata kama watashinda, na itakua vita ya muda mrefu maana labda wawe na uwezo wa kuua kila mtu kwenye pembe zote za Ukraine.
Hamna kitu cha hatari kama kuvamia nchi ambayo watu wake wana uzalendo nayo, Mmarekani bado hukumbuka kilichomkuta Vietnam.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2129485
uyu Putin"💩Pushin
Namchukia sana,wakati corona ilianza alisema Africa is a Huge Grave Site!
Yani katutharau sana huyu jamaa,i wish the world to have a full blown war!ndio mtu kama mimi nichukuliwe kama massinerly!!!
Hii jamaa ni kama Hitler,bakisha tu aitekee Afrika tuu!akiwachwa amee pembe!!!😬😬😬
 
World War111
 
Hii umeandika kwa mihemuko kwa sababu mkenya mwenzako karopoka huko. Hao raia waliotayari kupambana mbona wanakimbia mpaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…