Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

Kwaiyo Libya hakukuwa na sheria za kimaitafa, Syria, Iraq, Yemen je, hakuna izo sheria ila sheria isome leo kisa Russia kafanya sio?

Ww ndo uache ubwege, halafu uyo barozi mwambie Al Shabab wanataka kumega kule juu upande wa Kenya uwe Somalia tuone atasemaje?
Ukiona mtu anaandika barozi badala ya balozi, wale usipoteza naye muda, hawa hata walimu waliwashindwa.
 
Mtu na ndugu yake huyo,umesahau Putin alifanya ziara Beijing majuzi? Alafu baada ya kikao na Putin,Xi Jin ping akasema " our cooperation has no limit" maana yake ni kwamba,wako pamoja na Putin.

U
Anamaanisha .....hapangiwi
 
Mpaka sasa mataifa yaliyounga mkono kwa uwazi utambuzi wa majimbo hayo kuwa ni "huru" ni Venezuela, Cuba, Nicaragua na Syria ya Assad. Bado nasubiri statements za mataifa mengine.

Waingereza wana msemo wao maarufu sana unasema: Birds of a feather flock together!
Ndio yashachukuliwa tena hakuna namna itabaki historia tu [emoji16][emoji16]
 
Kwaiyo Libya hakukuwa na sheria za kimaitafa, Syria, Iraq, Yemen je, hakuna izo sheria ila sheria isome leo kisa Russia kafanya sio?

Ww ndo uache ubwege, halafu uyo barozi mwambie Al Shabab wanataka kumega kule juu upande wa Kenya uwe Somalia tuone atasemaje?
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Wanataka misaada tu hao ya vyandarua na ARV kwa sharti la kupigana pumbu wanaume kwa wanaume, hawana jengine
 
Wew nae hujui kitu, hizo sheria za kimataifa na hayo makundi ya jumuiya za kimataifa kwa taarifa yako, hawa wote ni machawa wa Umagharibi+USA kwaiyo agenda yoyote ktk jumuiya hizo zilishabarikiwa na wamagharibi+USA kuwa sheria&kanuni zitafanya kazi kulingana na matakwa ya wao wanavyopenda haijarishi ni muda gan.

Na kwakuwa wanajinadi kusambaza ushawishi ktk mataifa mengi haswa bendera fuata upepo toka afrika, so ni vigumu kwenda kinyume na sheria hizo, maana hata ukipinga bado kwenye kamati zao za kulipima jambo lako hutopata kura nyingi, kwakuwa wengi hufuata agenda za misimamo ya bwana wao USA.

Kaa kwa kutulia kjna bado huijui dunia
Kabisa mkuu..that's y Putin anajiamulia tu coz anajua USA kashaimeza UN yote
 
Unafiki na ujuaji wa wakenya hauachi kunifurahisha hata siku moja: Hivi wakenya wangekuwa wanaheshimu sheria za kimataifa, wangejisumbua kutaka kuchukua mpaka wa bahari wa Somalia kisa imetambulika kuna mafuta. Mbali na hapo, Kenya imekataa kuheshimu hata maamuzi ya taasisi za kiafrika ambazo zilitoa amri kwamba Kenya iwape uraia watoto wa Nubia. Vipi kuhusu kisiwa cha Minjingu ???
Panya ana mtishia tembo
 
Huyo balozi wa Kenya alikuwa hajamaliza chuo kweli wakati Kossovo inamegwa na umegaji huo kufanyika bila UN/US kukemea?

Au Belgrade ilivyovulumishwa mizinga bila kufuata sheria za kimataifa na mauaji yakitekekezeka Yugoslavia ya zamani, balozi huyo alikuwa anaandaa proposal ya dissertation yake?

Hizi 'guts' za balozi zilikosekanaje wakati Libya inaharibiwa territory yake na Mabomu ya NATO bila idhini ya UN?

Nashauri, balozi apitie historia kwanza.
Kenya ni Vassal state ya Mwingereza hivyo kilichofanyika hapo ni kutekeleza matakwa ya bwana mkubwa ambaye ni Uingereza.
 
Baada ya kuwapima USA EU UN kaona hawamuwezi kichawi.....kijesh.....na kiuchumi
Hahahahaaaa ngoja tuone vikwazo kama vita mtikisa putin naona UK,Ujerumani na US tayari wamesha weka.

Kikwazo cha ujerumani kwenye bomba la gas naona ndio kitamuuma sana Putini, ingawa nadhani Putin alijua haya yote zamani kabla haja fanya invading.

Pompeo ameulizwa kwenye utawala wao wangefanyaje, anasema kwahatua ilipofikia US wamechelewa kumzuiya Putin.
Pompeo anasema wangekuwa wao wangezuiya miezi miwili iliyopita.
 
Wew nae hujui kitu, hizo sheria za kimataifa na hayo makundi ya jumuiya za kimataifa kwa taarifa yako, hawa wote ni machawa wa Umagharibi+USA kwaiyo agenda yoyote ktk jumuiya hizo zilishabarikiwa na wamagharibi+USA kuwa sheria&kanuni zitafanya kazi kulingana na matakwa ya wao wanavyopenda haijarishi ni muda gan.

Na kwakuwa wanajinadi kusambaza ushawishi ktk mataifa mengi haswa bendera fuata upepo toka afrika, so ni vigumu kwenda kinyume na sheria hizo, maana hata ukipinga bado kwenye kamati zao za kulipima jambo lako hutopata kura nyingi, kwakuwa wengi hufuata agenda za misimamo ya bwana wao USA.

Kaa kwa kutulia kjna bado huijui dunia
Wewe nawe kama hujui utaratibu wa kufanya maamuzi ndani ya UN kula majimbi ulalie masikio.
 
Back
Top Bottom