Daaah USA. Kamwingiza cha kike zelensky wa watu[emoji23][emoji23]
Ukiona mtu anaandika barozi badala ya balozi, wale usipoteza naye muda, hawa hata walimu waliwashindwa.Kwaiyo Libya hakukuwa na sheria za kimaitafa, Syria, Iraq, Yemen je, hakuna izo sheria ila sheria isome leo kisa Russia kafanya sio?
Ww ndo uache ubwege, halafu uyo barozi mwambie Al Shabab wanataka kumega kule juu upande wa Kenya uwe Somalia tuone atasemaje?
Ndio yashachukuliwa tena hakuna namna itabaki historia tu [emoji16][emoji16]Mpaka sasa mataifa yaliyounga mkono kwa uwazi utambuzi wa majimbo hayo kuwa ni "huru" ni Venezuela, Cuba, Nicaragua na Syria ya Assad. Bado nasubiri statements za mataifa mengine.
Waingereza wana msemo wao maarufu sana unasema: Birds of a feather flock together!
Lakwako je linapambana na upinzani badala ya kupambana na njaaHaya ndio yale mataifa ya kipumbavu yote.
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji119]Kwaiyo Libya hakukuwa na sheria za kimaitafa, Syria, Iraq, Yemen je, hakuna izo sheria ila sheria isome leo kisa Russia kafanya sio?
Ww ndo uache ubwege, halafu uyo barozi mwambie Al Shabab wanataka kumega kule juu upande wa Kenya uwe Somalia tuone atasemaje?
Kabisa mkuu..that's y Putin anajiamulia tu coz anajua USA kashaimeza UN yoteWew nae hujui kitu, hizo sheria za kimataifa na hayo makundi ya jumuiya za kimataifa kwa taarifa yako, hawa wote ni machawa wa Umagharibi+USA kwaiyo agenda yoyote ktk jumuiya hizo zilishabarikiwa na wamagharibi+USA kuwa sheria&kanuni zitafanya kazi kulingana na matakwa ya wao wanavyopenda haijarishi ni muda gan.
Na kwakuwa wanajinadi kusambaza ushawishi ktk mataifa mengi haswa bendera fuata upepo toka afrika, so ni vigumu kwenda kinyume na sheria hizo, maana hata ukipinga bado kwenye kamati zao za kulipima jambo lako hutopata kura nyingi, kwakuwa wengi hufuata agenda za misimamo ya bwana wao USA.
Kaa kwa kutulia kjna bado huijui dunia
Panya ana mtishia temboUnafiki na ujuaji wa wakenya hauachi kunifurahisha hata siku moja: Hivi wakenya wangekuwa wanaheshimu sheria za kimataifa, wangejisumbua kutaka kuchukua mpaka wa bahari wa Somalia kisa imetambulika kuna mafuta. Mbali na hapo, Kenya imekataa kuheshimu hata maamuzi ya taasisi za kiafrika ambazo zilitoa amri kwamba Kenya iwape uraia watoto wa Nubia. Vipi kuhusu kisiwa cha Minjingu ???
Kenya ni Vassal state ya Mwingereza hivyo kilichofanyika hapo ni kutekeleza matakwa ya bwana mkubwa ambaye ni Uingereza.Huyo balozi wa Kenya alikuwa hajamaliza chuo kweli wakati Kossovo inamegwa na umegaji huo kufanyika bila UN/US kukemea?
Au Belgrade ilivyovulumishwa mizinga bila kufuata sheria za kimataifa na mauaji yakitekekezeka Yugoslavia ya zamani, balozi huyo alikuwa anaandaa proposal ya dissertation yake?
Hizi 'guts' za balozi zilikosekanaje wakati Libya inaharibiwa territory yake na Mabomu ya NATO bila idhini ya UN?
Nashauri, balozi apitie historia kwanza.
Muwache amchezee PutinJamaa anatafuta kiki za kimataifa
Hahahahaaaa ngoja tuone vikwazo kama vita mtikisa putin naona UK,Ujerumani na US tayari wamesha weka.Baada ya kuwapima USA EU UN kaona hawamuwezi kichawi.....kijesh.....na kiuchumi
Anamaanisha .....hapangiwi
Alimaanisha ushirikiano wao mpya hakuna mipaka, yaani,ikiwa Urusi itahitaji ushirikiano wa kijeshi jamaa atakuwa tayariAnamaanisha .....hapangiwi
Unamaanisha nini ya kipumbavu?Haya ndio yale mataifa ya kipumbavu yote.
Yeah, na hata akimalizana na Kiev, anaweza kuendelea mbele ili afanye makubwa zaidi.Hapo safari imeanza rasmi kuelekea Kiev,Zelensky Hana lake.
Wewe nawe kama hujui utaratibu wa kufanya maamuzi ndani ya UN kula majimbi ulalie masikio.Wew nae hujui kitu, hizo sheria za kimataifa na hayo makundi ya jumuiya za kimataifa kwa taarifa yako, hawa wote ni machawa wa Umagharibi+USA kwaiyo agenda yoyote ktk jumuiya hizo zilishabarikiwa na wamagharibi+USA kuwa sheria&kanuni zitafanya kazi kulingana na matakwa ya wao wanavyopenda haijarishi ni muda gan.
Na kwakuwa wanajinadi kusambaza ushawishi ktk mataifa mengi haswa bendera fuata upepo toka afrika, so ni vigumu kwenda kinyume na sheria hizo, maana hata ukipinga bado kwenye kamati zao za kulipima jambo lako hutopata kura nyingi, kwakuwa wengi hufuata agenda za misimamo ya bwana wao USA.
Kaa kwa kutulia kjna bado huijui dunia