Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

Kumbe ...hili Jambo serious linaweza kushushia credits wa Democrat
 
Lkn pompeo ....na serikali yake walitaka kivunja NATO
 
wapeleke jeshi MOSCOW[emoji2][emoji2][emoji16]
 
Kuliko kutumia muda mwingi kuchangia vitu huvijui, angalau soma kidogo kuhusu Sheria za kimataifa itakusaidia zaidi. Nchi huru zina haki na mamlaka zake, ikiwa ni mamlaka ya kujiamulia mambo yake.
uhuru ukizidi niujinga lazma uhuru uwe na mipaka
huelewi kitu kuhusiana na uhuru kijana kajifunze zaidi[emoji871][emoji871][emoji5][emoji4][emoji4]
 
sio mbaya ila hata wasingeitambua maadam RUSSIA imeitambua ndio lamsingi hili
 
huyu mpuuzi anatakiwa akamatwe anyongwe hadharani
 
Mpuuzi tu huyu
 
Qatari Minister of Energy Saad Al-Kaabi:
  • Compensation of Russian gas supplies to Europe is almost impossible
  • I think Russia is responsible for supplying between 30 and 40 percent of supplies to Europe, a country alone cannot compensate that much.
 
Hichi nyingi zinaunga kichinichini maana zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka malekani
 
Balozi na nchi yake ni vibaraka wa mabwanyenye toka enzi na enzi. Walishasupport apartheid government hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…