Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

Taja jina la nchi hiyo.
 
Pia......hata Salim Ahmed Salim ...aliwahi kuipinga USA ....ilivyokuwa inakataa
Kuitambua PRC ( China) Kama nchi mwanachama wa UN .........

Kipind kiti cha China kilikua kinashikiriwa na TAIWAN.....chin ya Chiang kai shek
 
taarifa hizi nzuri huwa hazisemwi na marekani na washirika wake
 
kenya imeonyesha dhahiri kujikomba kwa ulaya na us, mambo yake mengi ya ndani yamewashinda ikiwamo njaa, mgogoro na somalia, ukabila, ugaidi .....wanaenda kujikomba, njaa mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…