eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Acha wapige kelele......mkubwa anafanya kwa vitendo
Tena Putin anawaza, yaani kuiimarisha nchi kwa kiasi hiki, nitaondoka madarakani bila kupiga mtu hata mmoja!!?
😆 🙂 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wapige kelele......mkubwa anafanya kwa vitendo
Ajajua kwanini wafaransa wametoka nduki ...nchini maliNgoja atumiwe makachero wa KGB wamuondoe kwa dunia
Taja jina la nchi hiyo.Kuna mmoja ambaye alipewa kiti cha kuazima kama ilivyo kenya, yaani mwanachama wa muda wa baraza la usalama, alipinga kitu cha marekani. Marekani alikuwa na kitu chake, akawa anafanya ushawishi wa kukipitisha kwenye baraza. Huyo wa kiti cha kuazima, akapiga kura ya hapana. marekani wakamuambia, hiyo kura yako ina gharama kubwa sana. Itakugharimu sana. Baada ya muda, akashangaa miradi ambayo ilikuwa inafadhiriwa na marekani nchini mwake ikanyimwa fedha, mambo mengi ya misaada yakasitishwa. Mpaka ile nchi ikasema, tungejua wala tusingegombea kupata hicho kiti. 😂 🤣 😛
Na nyie vibaraka wa China na Russia mbona hamjisemi?Vibaraka wa UK achana nao
Pia......hata Salim Ahmed Salim ...aliwahi kuipinga USA ....ilivyokuwa inakataaKuna mmoja ambaye alipewa kiti cha kuazima kama ilivyo kenya, yaani mwanachama wa muda wa baraza la usalama, alipinga kitu cha marekani. Marekani alikuwa na kitu chake, akawa anafanya ushawishi wa kukipitisha kwenye baraza. Huyo wa kiti cha kuazima, akapiga kura ya hapana. marekani wakamuambia, hiyo kura yako ina gharama kubwa sana. Itakugharimu sana. Baada ya muda, akashangaa miradi ambayo ilikuwa inafadhiriwa na marekani nchini mwake ikanyimwa fedha, mambo mengi ya misaada yakasitishwa. Mpaka ile nchi ikasema, tungejua wala tusingegombea kupata hicho kiti. [emoji23] [emoji1787] 😛
Kabisa mkuu. NATO walianza kuinua mabega ....nadhan they really know what kind of person they are dealing with [emoji23][emoji23][emoji23]Tena Putin anawaza, yaani kuiimarisha nchi kwa kiasi hiki, nitaondoka madarakani bila kupiga mtu hata mmoja!!?
[emoji38] 🙂 [emoji4]
Kabisa mkuu. NATO walianza kuinua mabega ....nadhan they really know what kind of person they are dealing with [emoji23][emoji23][emoji23]
taarifa hizi nzuri huwa hazisemwi na marekani na washirika wakeMpaka sasa mataifa yaliyounga mkono kwa uwazi utambuzi wa majimbo hayo kuwa ni "huru" ni Venezuela, Cuba, Nicaragua na Syria ya Assad. Bado nasubiri statements za mataifa mengine.
Waingereza wana msemo wao maarufu sana unasema: Birds of a feather flock together!
kenya imeonyesha dhahiri kujikomba kwa ulaya na us, mambo yake mengi ya ndani yamewashinda ikiwamo njaa, mgogoro na somalia, ukabila, ugaidi .....wanaenda kujikomba, njaa mbaya sanaBaraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa dharura baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema kwamba sasa anatambua sehemu ya Ukraine kama Urusi na atatuma wanajeshi wake kuwa walinzi wa amani katika majimbo hayo mawili.
Uingereza ilichukua hatua ya haraka kutangaza vikwazo. Urusi ilikemewa na nchi nyingi zikiwemo Mexico, Ireland, Norway, Ghana, na nyinginezo. Lakini ni Kenya ndio iliyojitokeza kwa makali yake kwa jinsi ilivyojibu hatua hiyo ya Urusi.
Balozi wake kwa Umoja wa Mataifa Martin Kimani alitoa hotuba ambayo wengi wamejitokeza kuisifia kama iliyoeleza kwa urahisi na ukali unaostahiki ukiukwaji mkubwa wa sheria za kimataifa ambao urusi imetekeleza.
"Uhuru wa eneo na mamlaka ya Ukraine yamevunjwa," alisema Balozi Martin Kimani.
"Mkataba wa Umoja wa Mataifa unaendelea kudhoofika chini ya shambulio hilo lisilo na huruma. Kwa wakati mmoja unatolewa kwa heshima na nchi zile zile ambazo kisha zikaupa kisogo katika kutekeleza malengo yanayopinga amani na usalama.... Kenya inasikitishwa sana na tangazo lililotolewa na Urusi la kutambua maeneo ya Ukraine kama mataifa huru'
Aliendelea kusema kuwa Kenya ina wasiwasi mkubwa juu ya athari ambayo Urusi inaweza kuwa nayo ikiwa itaruhusiwa na UN kushambulia na kunyakua nchi zingine.
Mfano wake ni kwamba mipaka ya Afrika ilikubaliwa na nchi zote za huko, licha ya mipaka hiyo kulazimishwa na wakoloni. Alieleza kuwa mataifa ya Afrika yalifanya uamuzi huo badala ya kuwa na vita visivyoisha.
"Tulikataa upanuzi kwa misingi yoyote, ikiwa ni pamoja na rangi, kabila, au kitamaduni," Kimani alisema. "
Baada ya hotuba yake hiyo ,maoni yalianza kutolewa huku akisifiwa kwa hotuba yake hiyo .Watumiaji wa mitandao ya kijamii walituma jumbe za kuonyesha 'makali' ya ujumbe wake na jinsi Kimani alivyojieleza na kuwakilisha msimamo wa kenya kuhusu hatua ya Urusi ;
Balozi Martin Kimani ni nani?
Balozi kimani aliteuliwa kuwa mwakilishi wa Kudumu wa Kenya katika Umoja wa mataifa mwaka wa 2020 .
Kabla ya uteuzi wake wa hivi punde zaidi, Bw. Kimani alikuwa Mjumbe Maalumu wa Rais wa Kukabiliana na Itikadi kali na Mkurugenzi wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Kenya kuanzia Septemba 2015.
Pia aliwahi kuwa Katibu wa Mikakati katika Ofisi ya Mtendaji wa Rais kuanzia Disemba 2018.
Bw. Kimani alikuwa Mwakilishi wa Kudumu wa Kenya katika Umoja wa Mataifa huko Nairobi, Mpango wa Mazingira wa Umoja wa Mataifa (UNEP) na Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Makazi (UN-Habitat) kati ya Desemba 2012 na Septemba 2015.
Mapema katika taaluma yake, Bw. Kimani alikuwa Mkurugenzi katika Mamlaka ya Kiserikali juu ya Maendeleo (IGAD) nchini Ethiopia, kuanzia Aprili 2011 hadi Disemba 2012.
Bw. Kimani alipata PhD na shahada ya uzamili katika masomo ya vita katika Chuo cha King's College, Chuo Kikuu cha London, mwaka wa 2010 na 2003, mtawalia, na pia shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha New Hampshire mwaka wa 1996
Source bbc swahili
Je, kiutalaamu hili limekaaje ....au ni sawa na sisimizi kumpiga biti tembo[emoji23][emoji23]
View attachment 2127616
Kwa hiyo Ukraine hana haki ya kuchagua upande Kisa yuko jirani na Russia? Ndio fair hiyo?Sisi ni wazee wa fair balance of power
tatizo hawana askari wenye sifa, wale kenya drinking force?hahahhahaSoon watatangaza ..+254.kutuma vikosi Pale Ukraine
adui njaa amewashindaa wakunya, kila siku kuomba msaada, watamweza mrusi? hii ni zaidi ya kujikomba hahahahahaTunashangaa......sisimizi kumtishia tembo