Hahaha komora .... Tz tume wanyoosha ..pole kameze pain killerMnajifurahisha, hyo ndio kazi yake..
Lkn mjue mpaka hautafunguliwa na madereva lazima wapimwe..
Uhuru keshafunga kazi kitambo, na nynyi mkitaka fungeni pia
Sent using Jamii Forums mobile app
ImagineHuyo balozi mwenyewe mbona anajiumauma tu, maelezo yake hayajanyooka vizuri.
Gusa unateMnajibiwa kulingana na uhalisia wenu, kila kitu na zamu..sahihi ndio zamu yenu, kama jeshi lenu ni dhaifu ni dhaifu tu
Feel the pain bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nzige budget yau mmeweka kiasi gani?Hahaha Geza tuna chakula kingi sana kenya mnajiaminisha kenya hakuna chakula na propaganda zenu, tunaagiza tu chakula kidogo kufill deficit... Kwa mfano mwaka huu wakulima wa kenya wanatarajiwa kuvuna mahindi gunia 45m ila consumption ya kenya ni 47m bags per year kwaivo tutahitaji kuimport 2m bags.hizo ni kidogo sana ata uganda wanaweza kusupply zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu hazipokelewi sasa hiviKama anasepa na asepe.
Mwenye hadhi ya kutubembeleza na tukamsikia labda ni uhuru tu tena aende mwenyewe Chato akapige magoti asipige simu akuna muda wa kuongea na simu MK254
Sent using Jamii Forums mobile app
bottom line is... Uhuru is a smartass.Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema...
Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia rais Magufuli, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli.
Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi.
Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza.
MY TAKE
I mentioned of special emissary/envoy from Kenya will be sent to Tanzania with immediate effect after a border closure by Tanzania...ππππ
Fungueni border
Kabudi promised to get back after a week! π π π
Sasa katibu kata amjibu huyu balozi! π π π
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Aisee Wakenya wako matatizoniNaona zile hatua mlizosema hazichukuliwi na serikali ya Tanzania kulinda raia wake sasa hivi zimeanza kuchukuliwa.
HATA SISI TUNA OGOPA CORONA KUTOKA KENYA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama Kenya mpaka wamefunga wao, wanalia nini? Au wanataka Watanzania wasiingie kwao ila wao waingie Tanzania sasa wakija huku si watapata Corona? Kama wamefunga basi watulie dawa iwaingie vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app