Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema...

Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia rais Magufuli, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli.

Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi.

Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza.

MY TAKE
I mentioned of special emissary/envoy from Kenya will be sent to Tanzania with immediate effect after a border closure by Tanzania...😀😀😀😀

Fungueni border

Kabudi promised to get back after a week! 😀 😀 😀

Sasa katibu kata amjibu huyu balozi! 😀 😀 😀

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

Hahahaha mipaka ya Arusha na Mara ifungwe pia....Hawa elites wa Kenya washenzi kabisa...watakula fedha zote za IMF walizopata hivi karibuni...
 
Ooooo!! Sai ndio mnajifanya wakarimu na wakati mkisikia wanajeshi wa ethiopia wamekaribia mpaka wa kenya huaga mnakata mauno kweli na kuliita jeshi letu dhaifu..

Basi mara na nyinyi mumeangukia pua, polisi wa tanzania walitoka nduki baada ya kurusha teargas mbili tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
What is your point here?
 
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema...

Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia rais Magufuli, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli.

Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi.

Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza.

MY TAKE
I mentioned of special emissary/envoy from Kenya will be sent to Tanzania with immediate effect after a border closure by Tanzania...😀😀😀😀

Fungueni border

Kabudi promised to get back after a week! 😀 😀 😀

Sasa katibu kata amjibu huyu balozi! 😀 😀 😀

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

Tusichezee soko Tusichezee soko Tusichezee soko; nimerudia mara tatu kuweka msisitizo. Ni rahisi kupata muuzaji kuliko kumpata mnunuzi.
 
Kuna msafirishaji anapeleka mzigo bila malipo kwanza? Utakuwa mjinga! Unaponunua kitu kinachopaswa kusafirishwa iwe sokoni ama hardware unafanyaje? Most of those goods at the border r owned by Kenyans!
Msala wao huu. Napitaga pale Gihurai 45 sokoni na lile soko la town BS naonaga Fuso za TZ zinapakua bidhaa sasa sasa ghafla zimekata.

NB: unazuia COVID utadhani Kenya hakuna kabisa. Watulie waonyeshwe kazi. Warundi, Rwanda, Congo, ruksa kasoro Mkenya
 
Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.

Ipo hivi

Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii ***ndi hiki ambacho wao wamejifungia.

Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi. Tayari Kenya wameshakopa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliikataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.

Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-

Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.

In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

Hatuna izo siasa chafu
Mumepima wangapi[emoji23][emoji23]
Insha yote hyo lkn bado sijaona data

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msala wao huu. Napitaga pale Gihurai 45 sokoni na lile soko la town BS naonaga Fuso za TZ zinapakua bidhaa sasa sasa ghafla zimekata.
NB: unazuia COVID utadhani Kenya hakuna kabisa. Watulie waonyeshwe kazi. Warundi, Rwanda, Congo, ruksa kasoro Mkenya
kama unafanya biashara huwezi kupeleka perishable goods bila order na kulipwa!

Wajaribu kuangalia masoko mengine kuna nchi 7 bado zinapokea chakula chetu!
 
Hahahaha.. Magufuli majanja sana! Mimi binafsi ntamtembelea Ikulu kwenda kumpongeza!
Hili suala alilikwepa kabisa kuliongelea ile juzi, kumbe kaenda kuwafungulia mbwa wake(wakuu wa mikoa) wakaanza kubweka kila kona hatimae panya katoka mbio. [emoji3][emoji3][emoji3]

This is mwamba JPM! naombeni namba yake jamani japo nimpigie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watatulia tu
Pumbavu zao
Walitudharau sana hawa wapuuzi
Nimuda wa kwenda nao kwatu tu kwatu
Safari hii Madharau kwishney
Eti wanatuweka kapu moja ma somali kweli?

Ushauri wangu chadema wasipate hata kiti kimoja kwenye uchaguzi maana hawana msaada wowote kwa taifa. Hivi unasimamaje na adui wa taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom