Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Kuna Balozi mmoja wa Nchi fulani leo ameutangazia ulimwengu kwamba amempigia Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania na kujibiwa kwamba mheshimiwa Waziri yupo busy kwa sasa pengine hadi wiki ijayo ndiposa atajadili kile alichomwarifu.

Hoja yangu hapa ni hii;sisi kwa mtu aliyeamua kutuletea siasa za kiswahili km nchi ile sisi ni waswahili zaidi yao!

Si busara kushabikia huo uswahili bali pindi inapobidi,acha iwe.

Diplomasia wakati mwingine bila jino kwa jino siyo kabisa!
 
Hii kwa lugha nyepesi inaitwa mwenye shida ndie anemfuta mganga sio mganga kumfata mwenye shida hahahaha,mpaka wiki ikiisha washanyooka watu wako bize kujenga chama
Balozi wa Kenya nchi Tanzania amesema Tanzania na Kenya ni ndugu hivyo hakuna haja ya kuvurugana kisa Corona ambayo haijatoka Tanzania wala Kenya ila wote imetukuta.

Hata hivyo amesema asubuhi ameongea na Waziri wa Mambo ya nje Prof Kabudi kuhusu Changamoto hii.

Kabudi amemjibu kwa sasa yuko bize na maswala Chama Dodoma, hivyo wataongea mwishoni mwa wiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi na Kenya ni ndugu na tutaendelea kuwa ndugu. Kuwa ni mitazamo tofauti sio tatizo Corona imeleta migogoro kama hii duniani kote.

Mpaka sahivi WHO hawana uhakika na symptoms. Yani ni hatari sisi ni akina nani hata tusiogope?

Kwa mtazamo wa magufuli naona yupo sahihi. Kenya nimesikia wajawazito kujifungua ikiwa usiku kutoka ni shida Geza Ulole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndio mabalozi wanaojua kazi yao balozi wa kwetu nchini kenya ametulia kimya bila kufanya lolote hii ndio shida ya kuteua bila kuangalia.
 
Back
Top Bottom