Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Msala wao huu. Napitaga pale Gihurai 45 sokoni na lile soko la town BS naonaga Fuso za TZ zinapakua bidhaa sasa sasa ghafla zimekata.

NB: unazuia COVID utadhani Kenya hakuna kabisa. Watulie waonyeshwe kazi. Warundi, Rwanda, Congo, ruksa kasoro Mkenya
Jifariji na kila Kona mnajulikana Kama korona


Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
KENYA waendelee na kupima, lockdown na upuuzi mwingine wowote ambao wataambiwa na mzungu. Lakini kupima Watanzania hapo ni marufuku.. Wachukue shehena za kwao hapo mpakani
Wewe upo huko ulipo ila mpakani wapo watanzania wanaopimwa na mwisho wa siku wanaendelea na safari ndani ya ardhi ya Kenya.
 
Wapime kwa vipi...hakuna Mtanzania kwenda Kenya na hakuna Mkenya kuja TZ...biashara ni mpakani...
Labda litoke tamko lingine ila kwa sasaivi ninavyofaham dereva roli raia wa nchi yoyote ruksa kuingia kenya kama huna corona aidha wakupime wao ama uwe na cheti kinachoonyesha ulipimwa corona ndani ya siku 14 zilizopita.
 
Baada ya Magu jumapili hii akiwa kwenye nyumba ya Bwana kuwakumbusha wakenya kuwa, mwaka huu watachemsha mawe wakimtibua, naona Kenyatta kamtuma balozi wao kuomba POO kwa mzee baba na wananchi kwa ujumla. Maana wameshamjua mzee baba kwa jeuri, akiamua kaamua.

Kenya itahitaji tena tuwalishe mwaka huu, maana kiangazi kiliwapiga, nzige wakaja wakavuna vichache vilivyokuwa vimestawi, na kama haikuwatosha, mafuriko sio tu yanabeba mashamba huko, mpaka wenye mashamba.
Na hii kujishaua kuwa watanunua ugali toka Ethiopia, ni kujitekenya na kucheka wenyewe. Ethiopia shibe yao tu mbinde, hiyo njaa ya jirani yao wataimudu?

Hivyo watake wasitake, ugali wao uko kwetu.

Sijui kwanini Kenyatta mgumu wa kuelewa. It´s been almost miaka 5 sasa ya Magu, hajamuelewa tu? Au maji machafu yamemharibu sio tu macho bali kichwa pia? Alishindwa kumjulisha Magu uamuzi wa kufunga mipaka kabla ya kukurupuka? Ayaa bana, ngoja aendelee kumchezea mzee baba sharubu, yakimkuta yakumkuta, asijekusema hakupewa tahadhari.
 
Poo yanini ..Corona inawagombanisha watu wa Africa kwakutokuwa na hela.
 
Wewe upo huko ulipo ila mpakani wapo watanzania wanaopimwa na mwisho wa siku wanaendelea na safari ndani ya ardhi ya kenya.
1) Mtanzania anaye tamani kupimwa na Mikenya hapo sawa..apimwe tu.
2) Dereva ambaye hana wakati wa kupoteza na vipimo vya upuuzi awache shehena mpakani mkenya aje achukue.
Shida ipo wapi hapo?
 
Tanzania na Kenya ni ndugu,hata ndugu ukwaruzana lakini undugu haufi.
 
Kenya ni wahuni na washenzi....wamefanya swab kwa dereva Mtanzania mpaka amepata kizunguzungu ...shenzi kabisa...hakuna hata diplomatic language katika kuchukua vipimo..
Nguvu tu mwanzo mwisho...Nadhani wanafikiri ni utawala wa JK...
Kama serikali yenu ingekua serious hamgehitajika kupimwa mpakani...unakuja tu na certificate kuonesha umepimwa na huna virusi kisha unakubaliwa kupita. Akili zenu nzito hamtaki kuhoji mbna serikali yenu haitaki kucooperate na hizi nchi zingine kwenye hili suala mnataka tu kulia eti kenya inawadhulumu, mara sijui kenya inatumika na mabeberu.
Haya mtabaki kulia hadi siku mtashika akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom