Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Jifariji na kila Kona mnajulikana Kama koronaMsala wao huu. Napitaga pale Gihurai 45 sokoni na lile soko la town BS naonaga Fuso za TZ zinapakua bidhaa sasa sasa ghafla zimekata.
NB: unazuia COVID utadhani Kenya hakuna kabisa. Watulie waonyeshwe kazi. Warundi, Rwanda, Congo, ruksa kasoro Mkenya
Wewe upo huko ulipo ila mpakani wapo watanzania wanaopimwa na mwisho wa siku wanaendelea na safari ndani ya ardhi ya Kenya.KENYA waendelee na kupima, lockdown na upuuzi mwingine wowote ambao wataambiwa na mzungu. Lakini kupima Watanzania hapo ni marufuku.. Wachukue shehena za kwao hapo mpakani
Korona hujamboNaona zile hatua mlizosema hazichukuliwi na serikali ya Tanzania kulinda raia wake sasa hivi zimeanza kuchukuliwa.
HATA SISI TUNA OGOPA CORONA KUTOKA KENYA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda litoke tamko lingine ila kwa sasaivi ninavyofaham dereva roli raia wa nchi yoyote ruksa kuingia kenya kama huna corona aidha wakupime wao ama uwe na cheti kinachoonyesha ulipimwa corona ndani ya siku 14 zilizopita.Wapime kwa vipi...hakuna Mtanzania kwenda Kenya na hakuna Mkenya kuja TZ...biashara ni mpakani...
Poo yanini ..Corona inawagombanisha watu wa Africa kwakutokuwa na hela.
[/QUOTE
Balozi kasema Kenyatta kamtuma kuomba msamaha.
hahah as if Kenyan drivers don't receive the same treatment!
Naona zile hatua mlizosema hazichukuliwi na serikali ya Tanzania kulinda raia wake sasa hivi zimeanza kuchukuliwa.
HATA SISI TUNA OGOPA CORONA KUTOKA KENYA.
Sent using Jamii Forums mobile app
1) Mtanzania anaye tamani kupimwa na Mikenya hapo sawa..apimwe tu.Wewe upo huko ulipo ila mpakani wapo watanzania wanaopimwa na mwisho wa siku wanaendelea na safari ndani ya ardhi ya kenya.
Upo kijijini kwenu sigimbi umeshashiba magimbi yakoPoo yanini ..Corona inawagombanisha watu wa Africa kwakutokuwa na hela.
Sawa fungeni huo mpaka tuone tukifaMtakufa njaa, huko hata 60% mnategemea Tanzania unafikri ni mahindi tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama serikali yenu ingekua serious hamgehitajika kupimwa mpakani...unakuja tu na certificate kuonesha umepimwa na huna virusi kisha unakubaliwa kupita. Akili zenu nzito hamtaki kuhoji mbna serikali yenu haitaki kucooperate na hizi nchi zingine kwenye hili suala mnataka tu kulia eti kenya inawadhulumu, mara sijui kenya inatumika na mabeberu.Kenya ni wahuni na washenzi....wamefanya swab kwa dereva Mtanzania mpaka amepata kizunguzungu ...shenzi kabisa...hakuna hata diplomatic language katika kuchukua vipimo..
Nguvu tu mwanzo mwisho...Nadhani wanafikiri ni utawala wa JK...
Haha ndo mnajiaminisha ila pale kwa border bado madereva wa Tanzania lazma wapimwe na wale wako na virusi wanarudi na mizigo yao
Na nyie madereva wenu hawaingii Tanzania!Haha ndo mnajiaminisha ila pale kwa border bado madereva wa Tanzania lazma wapimwe na wale wako na virusi wanarudi na mizigo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila maandamano Kati ya wanaounga mkono misimamo ya Jiwe na polisi yanaendeleaje? Ebu tupe mrejesho maana naona umekomaa tu na Tanzania🤣🤣Haha ndo mnajiaminisha ila pale kwa border bado madereva wa Tanzania lazma wapimwe na wale wako na virusi wanarudi na mizigo yao
Sent using Jamii Forums mobile app